Ukosefu wa upendo chanzo ukosefu wa amani na si ukosefu wa haki

Ukosefu wa upendo chanzo ukosefu wa amani na si ukosefu wa haki

Shayu

Platinum Member
Joined
May 24, 2011
Posts
608
Reaction score
1,655
Hakuna amani pasipo upendo. Upendo ni mama wa amani kama watu wanataka amani, wajifunze kupenda. Upendo haudhuru unalinda. Ukosefu wa upendo husababisha vurugu na fujo duniani. Upendo huheshimu wengine. Ni ukosefu wa upendo sio haki ndio hupoteza amani. Kwahiyo dunia lazima ifikirie mara mbili na imwangalie binadamu kwa jicho la upendo. Infact huwezi dhuru unachokipenda. Hii ni sheria ya amani.

Ukosefu wa upendo chanzo cha ukosefu wa amani na si ukosefu wa haki. Kukosekana kwa haki ni dalili ya upendo kutoweka au watu kutenda pasipo upendo. Thamani ya binadamu huondoka pale upendo unapotoweka.
 
Back
Top Bottom