Ukrain: Urusi wapoteza askari 45,200 tokea walipovamia

5525

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
5,412
Reaction score
6,279
DBF5DB52-F888-4092-9695-D1B66FD036FB.jpeg
From February 24 to August 21, the Armed Forces of Ukraine eliminated about 45,200 Russian invaders.

This is stated in the report of the General Staff of the Armed Forces of Ukraine posted on Facebook.

In particular, the Ukrainian troops destroyed 1,912 (+5 over past day) Russian tanks, 4,224 (+12) armored personnel vehicles, 1,028 (+10) artillery systems, 266 MLRS, 141 anti-aircraft systems, 234 aircraft, 197 helicopters, 806 (+3) operational-tactical UAVs, 190 cruise missiles, 15 warships/boats, 3,143 (+6) vehicles and fuel tanks, 99 (+2) special equipment units.
 
Hebu someni sorious articles ndio mtaujua ukweli. Accordning to some source inakadiriwa ukraine wamepoteza wapiganaji kati 67,000 - 71,000. Urusi ni kati ya 13,000 - 15,500.

Idadi ya najeruhi pande zote ni kubwa lakini Ukraine ni zaidi.

Kuna cbeap propaganda ambazo zimefanywa na hazijasaidia chochote zaidi zimepelekea maumivu makubwa zaidi Ukraine.

Ukitumia manati na mwenzio akitumi pisto hamuwezi kuwa na idadi sawa ya vifo na majeruhi
 
alivamiwa ulitaka afanyaj ? anye akalale kama ufanyavy kila siku
 
Kama wanajeshi wa Russia waliokufa itakuwa idadi hiyo, nafikiri wa Ukraine inaweza fika kama milioni mbili hivi
Hapana hawafiki kumbuka wale ni binadamu sio wanyama na sio kama maigizo wanaakili zao kufa au kupona
 
Hebu someni sorious articles ndio mtaujua ukweli. Accordning to some source inakadiriwa ukraine wamepoteza wapiganaji kati 67,000 - 71,000. Urusi ni kati ya 13,000 - 15,500.

Idadi ya najeruhi pande zote ni kubwa lakini Ukraine ni zaidi.

Kuna cbeap propaganda ambazo zimefanywa na hazijasaidia chochote zaidi zimepelekea maumivu makubwa zaidi Ukraine.

Ukitumia manati na mwenzio akitumi pisto hamuwezi kuwa na idadi sawa ya vifo na majeruhi
Hebu tumia akili kidogo je kuna mzazi yupo tayari kumuona mtoto wake anauwawa na wavamizi kisa ni mwanajeshi na asichukue hatua.....kumbuka wavamizi wanaingia ndani ya Ukraine na raia wamo humo humo wakiendelea na shughuli zao ndipo utafahamu takwimu gani ni halisi
 
Back
Top Bottom