mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Kiuhalisia Ukraine inachakazwa sana!! Ila vyombo vya magharibi vinapotosha ili kukwepa aibu ya kushindwa kuilinda ukraine kupitia air defenses walizopeleka huko!
Asilimia 80 ya mji mkuu kiev hauna maji, na umeme na kila jimbo la ukraine hali ni mbaya hawana maji na umeme!! Kisa dogo alijimwambafy kutaka kushambulia ngome kuu ya Urusi ya majini iliyoko Crimea ambacho ni kituo cha meli za urusi kwa kutumia drnes.
Shambulizi hilo halikufanikiwa na Urusi ikaamua kumchapa dogo usiku wa kuamkia leo kwenye majimbo yote ya ukraine ikiwemo mji wake mkuu wa kiev.
Pamoja na kichapo hicho chote kilichosababisha nchi kukosa maji na umeme, dogo bado anatamba kuwa Urusi ilirusha ngumi/missiles 50 lakini nimezipangua zote isipokuwa sita tu tu!! Logic ya kawaida haiingii akilini, ukraine ina majimbo 27 na wenyewe wanakiri nchi nzima imeshambuliwa lakini hapo hapo wanapandikiza uongo kama ifuatavyo:
1. Ni majimbo kumi tu yaliyoshambuliwa.
2. Makombora/missiles 50 zilitumika kwenye mashambulizi lakini 44 yalitunguliwa ina maana ni 6 tu yaliyofika kwenye target.
Inawezekanaje makombora sita yakafanikiwa kushambulia majimbo 10? Ina maana kombora moja linaweza kushambulia zaidi ya jimbo moja? Kuna mtu alisema njia ya mwongo ni fupi?
Russian attacks struck 10 regions and damaged 18 facilities, says Ukrainian prime minister
Ukraine Prime Minister Denys Shmyhal said Russia targeted 10 Ukrainian regions and damaged 18 mostly energy-related facilities.
He added that the consequences could have been worse but air defences knocked out 44 of the 50 missiles that were fired, Reuters reports.