Ukraine: Gavana wa Chernihiv asema Russia haijalegeza mashambulizi licha ya ahadi ya kupunguza mashambulizi

mbona tunaambiwa urusi ndiyo inayoshambuliwa [emoji16][emoji16]
Beberu ni muongo Sana, eti aliyechakazwa anaombwa apunguze mashambulizi!

Nafikiri wangetumia busara kuonyesha ukweli, uhalisia, wa jinsi Ukraine anavyochapwa, huenda mataifa yaliyokuwa neutral yaweza kuingiwa Imani, na kutoa matamko ya kulaani mashambulizi!

Wao wanavyoficha, ndiyo jamaa anavyomchakaza!
 
mbona tunaambiwa urusi ndiyo inayoshambuliwa [emoji16][emoji16]

Urusi ndio inayoshambulia Ukraine lakini cha moto wanakiona kwani wao walidhani, operation hiyo ingekuwa rahisi na ingechukua muda mfupi. Wamepata hasara kubwa sana ya wanajeshi na vifaa vita japokuwa bado wanaendelea kuipiga Ukraine.
 
chamoto anakiona ila BUCHA huko wanalia lia
hasara ulitaka wasipate wakati wapo kwenye OP yakutumia silaha
mnakwamia wapi vijana?
MAURIOPOL KHARKIV ODESSA LUHANS DONESK hizi zote zishakua mali ya RUSSIA sasa sijui munataka jamaa wapate hasara vipi
ila endeleeni kuwajaza sifa zauongo maana ndio wanazidi kupelekewa MOTO huko
 
Lakini cha moto anakiona.
 
Back
Top Bottom