Damu zinadai hii haiwezi kuisha kirahisi Russia ina deni na itawagharimu kwa hii vita
Mikwara ya Mbuzi kibao kulia Meee tu kisha wanaufyata mkia, Russia sijui wamekuwajeSaa 24 wafanye nini ? wapi? kwanani? nini? Ili iweje? zanini? kwanini? Kivipi? ........
Au basi , Haya wayukraine muda huo unayoyoma muwahi.
Wacha weee! Mchambuzi wa masuala ya kimataifa kutoka Nzega vijijini.Kufikia mwakani hakuna hata kisima kimoja cha mafuta cha Russia kitakachokua kinazalisha mafuta au gesi vitakuwa vimeangamizwa vyote.
Mpaka mwakani tayari Ukraine itakuwa inamiliki Long range Ballistic Missiles capable of reaching most parts of The Russian Federation something that will definitely spell the beginning of the end of the Russian senseless war.
Urusi na iran wametofautiana wafuasi wa dini na ushabiki.
Ndoto za Mwendawazimu hizo!!
Ndoto za MwendawazimuRussia alikua apige nyuklia tu mambo yaishe jamaa wakaidi kama wajapani alikua atumie ya mmarekani