Ukraine imepewa saa 24 na Russia , la sivyo watakutana na mashambulio ambayo hawajahi kuyaona...

Saa 24 wafanye nini ? wapi? kwanani? nini? Ili iweje? zanini? kwanini? Kivipi? ........

Au basi , Haya wayukraine muda huo unayoyoma muwahi.
Umekuwa kama Butelezi anaye lalamika sasa hivi huko kwenye kikao..tulia kijana.....
 
Kufikia mwakani hakuna hata kisima kimoja cha mafuta cha Russia kitakachokua kinazalisha mafuta au gesi vitakuwa vimeangamizwa vyote.

Mpaka mwakani tayari Ukraine itakuwa inamiliki Long range Ballistic Missiles capable of reaching most parts of The Russian Federation something that will definitely spell the beginning of the end of the Russian senseless war.
 
Wacha weee! Mchambuzi wa masuala ya kimataifa kutoka Nzega vijijini.
 
Watu hawataki kukubali. Tangu siku Ile Yale mavifaru ya urusi yatwangwe ndipo nilijua urusi Hana intelijensia.
 
Russia mikwara mingi sana harafu anawatumia wanajeshi kutoka Afrika ndio ashinde vita inaonekana nguvu kazi imepunguza Russia..
 
Hizo saa 24 hazijaisha tu, superpower wa mchongo mikwara kama mandonga
 
Russia alikua apige nyuklia tu mambo yaishe jamaa wakaidi kama wajapani alikua atumie ya mmarekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…