mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Ukraine imeikashifu sana ujerumani. Kisa ni kwamba ukraine iliiomba ujerumani msaada wa silaha nzito za kurusha makombora lakini mpaka sasa ujerumani haijatekeleza japo milikubali. Sasa ukraine wanaikejeli ujerumani kuwa wanapeleka makombora ukraine kwa usafiri kama wa konokono!!
Ujerumani na nchi zingine za ulaya zinakereka sana lakini zinajikaza hivyo hivyo!! Wameposti huyo konokono pamoja na maneno ya ujerumani pembeni mwa picha hiyo kuwa "Urusi lazima ashindwe vita hii" wakati usafiri wa silaha kwenda ukraine ni wa konokono!
Andrey Melnik speaks during an event marking the 77th anniversary of the 1945 victory against Nazi Germany at the Brandenburg parliament in Potsdam, Germany, May 8, 2022 © AFP / Soren Stache
Ukraine’s outspoken ambassador to Germany, Andrey Melnik, posted an image on Thursday implying that German weapons are being sent to Ukraine at a snail’s pace. Melnik has a long record of insulting his host nation.
Melnik posted an image of a snail with a bullet taped to its shell on his official Twitter account, along with the text “German weapons for Ukraine already on their way.” Claiming to have been sent the picture by a member of the government in Kiev, he added a dismissive “Pff. Russia must not win the war.”

Ukrainian ambassador insults Germany again
Envoy Andrey Melnik is apparently angry at the pace of arms deliveries from Berlin