Nsanzagee
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 2,209
- 4,769
Wapalestine watakwisha hivihivi tunajionea
Juzi kati walitaka kupata taifa la kuwasaidia, lakini mara tu ya kutaka kuanza mpango huo, nchi hiyo ikajikuta inapoteza Rais na waziri wa mambo ya nje kiutatautata tu na mambo yakaishia hapo
Ukraine inao NATO, vilevile Russia ina China, SA, Korea ya juu Iran n.k
Hawa waarabu wa Gaza, hawana hata wa kuwasaidia?