Hivi wewe ni mgeni wa haya mambo eeeh ujui Iran kampiga Pini mazayuni kupitia Hezbollah,houthi,hamas na vikundi Syria? Sahau kuhusu mazayuni kukaa kwa Amani pale middle finger..yaan hata aue raisi kila mwaka ila jua iran anauhakika wa kumpunguzia wanajeshi zaidi ya 500 kila mwaka kupitia vikundi nani mwenye hasaraWapalestine watakwisha hivihivi tunajionea
Juzi kati walitaka kupata taifa la kuwasaidia, lakini mara tu ya kutaka kuanza mpango huo, nchi hiyo ikajikuta inapoteza Rais na waziri wa mambo ya nje kiutatautata tu na mambo yakaishia hapo
Ukraine inao NATO, vilevile Russia ina China, SA, Korea ya juu Iran n.k
Hawa waarabu wa Gaza, hawana hata wa kuwasaidia?
Unaweza kusaidia magaidi mchana kweupe hadharani? Si utakuwa hujipendi? Kwani kubwa la magaidi Iran anasemaje?Wapalestine watakwisha hivihivi tunajionea
Juzi kati walitaka kupata taifa la kuwasaidia, lakini mara tu ya kutaka kuanza mpango huo, nchi hiyo ikajikuta inapoteza Rais na waziri wa mambo ya nje kiutatautata tu na mambo yakaishia hapo
Ukraine inao NATO, vilevile Russia ina China, SA, Korea ya juu Iran n.k
Hawa waarabu wa Gaza, hawana hata wa kuwasaidia?
HahahWapalestine watakwisha hivihivi tunajionea
Juzi kati walitaka kupata taifa la kuwasaidia, lakini mara tu ya kutaka kuanza mpango huo, nchi hiyo ikajikuta inapoteza Rais na waziri wa mambo ya nje kiutatautata tu na mambo yakaishia hapo
Ukraine inao NATO, vilevile Russia ina China, SA, Korea ya juu Iran n.k
Hawa waarabu wa Gaza, hawana hata wa kuwasaidia?
Saudi iko mfukoni hakina namna itajinusuru.Ngoma ngumu hapo , tatizo ni saudia akiachana na USA basi itakuwa ndio mwisho wa hao magaidi ya kimarekani na washirika wake pale Middle East
Ipo siku ule ufalme utatoka maana ndio chanzo cha matatizo kwa ndugu zaoSaudi iko mfukoni hakina namna itajinusuru.
Ufalme wanautaka na ili waendelee kutawala kama familia lazima USA iwalinde.
Baada ya Mwafrika ni Mwarabu
Ukraine wamevamiwa, Hamas wameteka watu mpaka leo wameshikilia watu wa taifa lingine, hata China na Rusia wanajua madhara ya vikundi vya kiislam vyenye msimamo mkali sana. Kule China, India vikundi hivyo vinasumbua sana, hamas ni kikundi cha kigaidi labda liundwe jeshi la Palestina. Lengo la Hamas ni kuifuta Israel, wanasema iondoke mashariki ya kati na warudi UlayaWapalestine watakwisha hivihivi tunajionea
Juzi kati walitaka kupata taifa la kuwasaidia, lakini mara tu ya kutaka kuanza mpango huo, nchi hiyo ikajikuta inapoteza Rais na waziri wa mambo ya nje kiutatautata tu na mambo yakaishia hapo
Ukraine inao NATO, vilevile Russia ina China, SA, Korea ya juu Iran n.k
Hawa waarabu wa Gaza, hawana hata wa kuwasaidia?
Iran wapoWapalestine watakwisha hivihivi tunajionea
Juzi kati walitaka kupata taifa la kuwasaidia, lakini mara tu ya kutaka kuanza mpango huo, nchi hiyo ikajikuta inapoteza Rais na waziri wa mambo ya nje kiutatautata tu na mambo yakaishia hapo
Ukraine inao NATO, vilevile Russia ina China, SA, Korea ya juu Iran n.k
Hawa waarabu wa Gaza, hawana hata wa kuwasaidia?
Kabisa.....harafu amekaa pembeni kama sio yeye. KimyaaaIpo siku ule ufalme utatoka maana ndio chanzo cha matatizo kwa ndugu zao
Hivi, Iran ndiyo yule aliyepoteza rais wake kizembe?Hivi wewe ni mgeni wa haya mambo eeeh ujui Iran kampiga Pini mazayuni kupitia Hezbollah,houthi,hamas na vikundi Syria? Sahau kuhusu mazayuni kukaa kwa Amani pale middle finger..yaan hata aue raisi kila mwaka ila jua iran anauhakika wa kumpunguzia wanajeshi zaidi ya 500 kila mwaka kupitia vikundi nani mwenye hasara
UKiangalia comments nyingi humu ikiwemo hii utagundua tatizo la watamzania ni elimu duni ,uwezo wa kufikiria ni mdogo sanaArabs wasaidiwe kwao pale kwani? And wanaishi kwa misaada ndio inawatia kuburi...
Kwa hiyo ulitaka nchi za kiarabu zipeleke jeshi halafu wapigane na USA, Israel, England? Na waarabu wametetee Palestinians kwa uarabu wao au kwa dini yao? Saudia ana maadui wengi , nchi nyingi za kiarabu zina wivu na Saud Arabia, vinatamani ndo zisimamie masuala ya Hoja na kusambaratisha utawala wa kifalme , siku Saud Arabia ikijichanganya kutengeneza umoja imara na nchi za kiarabu zikiongozwa na Iran, basi Saud Arabia itazinduliwa ili washia wakamate Saud ArabiaWaarabu waoga tu! Yaani Wapalestina wanauawa hivi hivi nchi za kiarabu zikikodoa macho!
Hata hivyo Iran,Turkey,Qatar,nk wanawasaidia.
Shida ya Saudia ni Kibaraka wa US na nchi za Magharibi.Kwa hiyo ulitaka nchi za kiarabu zipeleke jeshi halafu wapigane na USA, Israel, England? Na waarabu wametetee Palestinians kwa uarabu wao au kwa dini yao? Saudia ana maadui wengi , nchi nyingi za kiarabu zina wivu na Saud Arabia, vinatamani ndo zisimamie masuala ya Hoja na kusambaratisha utawala wa kifalme , siku Saud Arabia ikijichanganya kutengeneza umoja imara na nchi za kiarabu zikiongozwa na Iran, basi Saud Arabia itazinduliwa ili washia wakamate Saud Arabia
Bw. KosugiKwa hiyo ulitaka nchi za kiarabu zipeleke jeshi halafu wapigane na USA, Israel, England? Na waarabu wametetee Palestinians kwa uarabu wao au kwa dini yao? Saudia ana maadui wengi , nchi nyingi za kiarabu zina wivu na Saud Arabia, vinatamani ndo zisimamie masuala ya Hoja na kusambaratisha utawala wa kifalme , siku Saud Arabia ikijichanganya kutengeneza umoja imara na nchi za kiarabu zikiongozwa na Iran, basi Saud Arabia itazinduliwa ili washia wakamate Saud Arabia
Terrorists wanapendwa na shetani tuWapalestine watakwisha hivihivi tunajionea
Juzi kati walitaka kupata taifa la kuwasaidia, lakini mara tu ya kutaka kuanza mpango huo, nchi hiyo ikajikuta inapoteza Rais na waziri wa mambo ya nje kiutatautata tu na mambo yakaishia hapo
Ukraine inao NATO, vilevile Russia ina China, SA, Korea ya juu Iran n.k
Hawa waarabu wa Gaza, hawana hata wa kuwasaidia?
Wishful thoughts.Hivi wewe ni mgeni wa haya mambo eeeh ujui Iran kampiga Pini mazayuni kupitia Hezbollah,houthi,hamas na vikundi Syria? Sahau kuhusu mazayuni kukaa kwa Amani pale middle finger..yaan hata aue raisi kila mwaka ila jua iran anauhakika wa kumpunguzia wanajeshi zaidi ya 500 kila mwaka kupitia vikundi nani mwenye hasara