Ukraine inawategemea Ulaya na Marekani. Je, ni kosa?

Ukraine inawategemea Ulaya na Marekani. Je, ni kosa?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Naona kama watu wanachukia kwa Ukraine kuwategemea Wamarekani na Ulaya kwenye vita yake dhidi ya Urusi. Kwa ni kosa kuomba msaada kwa mtu unayemuamini!!?

Hata hivyo maslahi ya Ukraine na Marekani dhidi ya Urusi yanafanana, tatizo liko wapi wakisaidiana!!??
 
Putin anachekesha sana. Kaivamia Ukraine akapigwa na kusogezwa . Kumbuka anapigana vita ndani ya Ukraine lakini analalamika eti anapambana NATO. Alivyomjinga eti anataka hii vita iwe yeye na Ukraine wakati anapigana akiwa ndani ya Ukraine.
 
Putin na wafuasi wake ukichunguza ni hamnazo
 
Kwamba... Wewe uko vizuri kichwani zaidi yake?
Asichokijua anakong'otwa Uikrane analia Merika na NATO.
Screenshot_20230430-113713.jpg
 
Back
Top Bottom