Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Putin na wafuasi wake ukichunguza ni hamnazoPutin anachekesha sana. Kaivamia Ukraine akapigwa na kusogezwa . Kumbuka anapigana vita ndani ya Ukraine lakini analalamika eti anapambana NATO. Alivyomjinga eti anataka hii vita iwe yeye na Ukraine wakati anapigana akiwa ndani ya Ukraine.
Kwamba... Wewe uko vizuri kichwani zaidi yake?Putin na wafuasi wake ukichunguza ni hamnazo
Asichokijua anakong'otwa Uikrane analia Merika na NATO.Kwamba... Wewe uko vizuri kichwani zaidi yake?
Na mimi nasapoti. Wanaoshabikia Putin kuvamia ukrane kichwani hamnazoKwamba... Wewe uko vizuri kichwani zaidi yake?