Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
Kweli mkuuZelensnkyy kasema wazi Crimea iliyoporwa kwa mtutu kutoka Ukraine lazima irudishwe Ukraine
Kama CCM mlivyopora rasilimali za Watanzania......Zelensnkyy kasema wazi Crimea iliyoporwa kwa mtutu kutoka Ukraine lazima irudishwe Ukraine
Utasikia mashabiki wake wanasifia lina black belt; unajiuliza so what? Jitu limefichwa kusikojulikana na worthless black belt!Duh.., Putin anatia huruma Kwa kweli [emoji24][emoji24][emoji24] umwamba umemponza,
Jamaa ( Putin) anaishi kama digidigi kwenye nchi yake[emoji848]Utasikia mashabiki wake wanasifia lina black belt; unajiuliza so what? Jitu limefichwa kusikojulikana na worthless black belt!
Ni kweli ndege zimedondoshwa???Nyie pigeni kelele wee,muongee kila lugha ila mwisho wa siku CRIMEA,DONESK,LUHANSK,KHERSON zishaondoka izo kurudi labda dunia ianze upya[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635].kurusha mabomu wala haisaidii chochote kile zaidi mnazidi kuwapa hasira wakazi wa miji iyo kiwachukia na kuzidi kuwapenda WARUSI
Unaposikia Zelensky anaidai Crimea sasa ujue huko kwengine Mrusi kachapwa taaban na kafurushwa mbali kweli kweli, kabla Ukraine hawakuwa wakiitaja Crimea lakini sasa ni wazi Mrusi choka mbaya anakula mkongoto on the spotNyie pigeni kelele wee,muongee kila lugha ila mwisho wa siku CRIMEA,DONESK,LUHANSK,KHERSON zishaondoka izo kurudi labda dunia ianze upya[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635].kurusha mabomu wala haisaidii chochote kile zaidi mnazidi kuwapa hasira wakazi wa miji iyo kiwachukia na kuzidi kuwapenda WARUSI
Mimi na uzee huu sina guts za ku-side upande wowote katika vita hii. Imagine, Rusia pekee amepoteza roho 70,000 kwa uchache, imagine ungepita mbele ya parade ya watu 70,000 kisha ukapita mbele ya majeneza 70,000, je, ungeendelea kushabikia upande wowote?, i hate loss of life and properties for any reasonOperesheni iendelee isisimame mpaka Gaykraine watie akili
Nalog off Z
umeshindwa kuweka hata link? 😅 😅 😅 😅 halafu taarifa katoa UkraineKwa huyo hapa mhusika nani haswa?
- Ukraine’s air force says nine Russian warplanes were destroyed by explosions that rocked an airbase in Russia-annexed Crimea on Tuesday.
- The blasts, which Russia says were caused by detonations of stored ammunition, killed one person and wounded 14 others, according to the Black Sea peninsula’s governor
CHANZO; CNN
Naenda CNN ,aljazeera,BBC kote hii habar hakuna asiyejua acha kujitoa ufahamuumeshindwa kuweka hata link? 😅 😅 😅 😅 halafu taarifa katoa Ukraine
Mzee umeongea kwa hekima, Wehu hawaelewi haya. vita ni ujinga.Mimi na uzee huu sina guts za ku-side upande wowote katika vita hii. Imagine, Rusia pekee amepoteza roho 70,000 kwa uchache, imagine ungepita mbele ya parade ya watu 70,000 kisha ukapita mbele ya majeneza 70,000, je, ungeendelea kushabikia upande wowote?, i hate loss of life and properties for any reason
Naenda CNN ,aljazeera,BBC kote hii habar hakuna asiyejua acha kujitoa ufahamu
weka link acha kurukaruka
Zelensnkyy kasema wazi Crimea iliyoporwa kwa mtutu kutoka Ukraine lazima irudishwe Ukraine
Vipi Mkuu na satellite images zinaongopa au?!Habari hapo juu inasema kuwa UKRAINE AIRFORCE wamesema WARUSI wamepoteza ndege.kwa maana iyo UKRAINE ndo mtoa taarifa za WARUSI.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]