Ukraine; Ndege sita za Russia zimeangamizwa, mlipuko wa Krimea

Nyie pigeni kelele wee,muongee kila lugha ila mwisho wa siku CRIMEA,DONESK,LUHANSK,KHERSON zishaondoka izo kurudi labda dunia ianze upya[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635].kurusha mabomu wala haisaidii chochote kile zaidi mnazidi kuwapa hasira wakazi wa miji iyo kiwachukia na kuzidi kuwapenda WARUSI
Nakubali. Huko kinawaka waukraine wanazidi kutema ardhi yao

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Unaposikia Zelensky anaidai Crimea sasa ujue huko kwengine Mrusi kachapwa taaban na kafurushwa mbali kweli kweli, kabla Ukraine hawakuwa wakiitaja Crimea lakini sasa ni wazi Mrusi choka mbaya anakula mkongoto on the spot
Ha ha ha Soma ubao. Nb inawezekana hufuatilii. Nakuletea ramani muda so mrefu.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Ha ha ha Soma ubao. Nb inawezekana hufuatilii. Nakuletea ramani muda so mrefu.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Bado unaandalia ile ramani tu, Mji wa Khason waliachiwa majeshi ya Urusi waingie na wakatangaza kuuchukua lakini kumbe waliingizwa kwa mtego hatima wakawa traped 2000.,
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] iyo labda ni kherson ya kwenye ndoto

Human being We are just Fighting for nothing... chanzo Cha migogoro yote duniani ni greedy...Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] iyo labda ni kherson ya kwenye ndoto
wazee wa kulishwa vitu vizito , day 1 tulisikia vilio dunian wa ukraine wakijificha kweny maandaki ila leo wapo wanadunda mtaan huko kyiev soon tutasikia wahuni wapo ndan ya ardhi ya Urusi , narudia tena hata Hitler aliingia had km chache kufika moscow ila akrudishwa nyuma , pia Hitler aliiteka Nusu ya ufaransa ila alitimuliwa mwishowe pia Napoleon aliiteka karibu nusu ya ulaya ila mwishowe alianguka , Ottonman aliikamata karibu nusu ya ulaya ila mwishowe alianguka , Urusi iliikamata karibu nusu ya Afghanstan ila mwishowe akatimuliwa , HUEZ PIGANA NA WALIO KWENYE NCHI YAO HLF UKASHINDA
 
Mkuu wambie kwamba Ukraine sasa anapapatua Crimea ambayo haikuwa na matumaini kabla
 
HIMARS
IMG_20220814_200552.jpg
 
UKRAINE ni mali ya URUSI
wazee wa kulishwa vitu vizito , day 1 tulisikia vilio dunian wa ukraine wakijificha kweny maandaki ila leo wapo wanadunda mtaan huko kyiev soon tutasikia wahuni wapo ndan ya ardhi ya Urusi , narudia tena hata Hitler aliingia had km chache kufika moscow ila akrudishwa nyuma , pia Hitler aliiteka Nusu ya ufaransa ila alitimuliwa mwishowe pia Napoleon aliiteka karibu nusu ya ulaya ila mwishowe alianguka , Ottonman aliikamata karibu nusu ya ulaya ila mwishowe alianguka , Urusi iliikamata karibu nusu ya Afghanstan ila mwishowe akatimuliwa , HUEZ PIGANA NA WALIO KWENYE NCHI YAO HLF UKASHINDA
 
Mimi na uzee huu sina guts za ku-side upande wowote katika vita hii. Imagine, Rusia pekee amepoteza roho 70,000 kwa uchache, imagine ungepita mbele ya parade ya watu 70,000 kisha ukapita mbele ya majeneza 70,000, je, ungeendelea kushabikia upande wowote?, i hate loss of life and properties for any reason
Kutoku side upande wowote kumefanya SMO iishe MKUU
RUSSIA kamatia hapo hapoooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa, unaendelea kushabikia loss of life
Ndio,wao sio wa kwanza kufa waendelee kufa tu kama walivyokufa/wanavyokufa raia wa mataifa mengine kwa utemi wa hao team upinde
Nalog off Z
 
Back
Top Bottom