Ukraine; Ndege sita za Russia zimeangamizwa, mlipuko wa Krimea

Vipi Mkuu na satellite images zinaongopa au?!View attachment 2320769
At least two explosions on Tuesday destroyed at least seven Russian aircrafts at an air base in Russian-annexed Crimea, a new satellite image from Planet Labs shows.

The cause of the explosion is still unknown. The Ukrainian Ministry of Defense says it could not determine the cause, while the Russian Ministry of Defense said the blasts were caused by detonated aviation ammunition but did not reveal how it had been detonated.


Zelenks kama angehusika dunia isingelala, ni ajali kama zingine Ukreine hajahusika na yeye kakiri hivyo

 
Unajitekenya alafu unacheka mwenyewe
 
Hata Moskva ilivyozama tuliambiwa ni ajali.
 
Russia anamiliki ndege vita zaidi ya 6000
 
asipohusika haiw hasara kwa urus?
 
Naendelea ku side na Urusi kwenye hii operesheni
Nalog off  Z
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…