Ukraine; Ndege sita za Russia zimeangamizwa, mlipuko wa Krimea

Nakubali. Huko kinawaka waukraine wanazidi kutema ardhi yao

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Unaposikia Zelensky anaidai Crimea sasa ujue huko kwengine Mrusi kachapwa taaban na kafurushwa mbali kweli kweli, kabla Ukraine hawakuwa wakiitaja Crimea lakini sasa ni wazi Mrusi choka mbaya anakula mkongoto on the spot
Ha ha ha Soma ubao. Nb inawezekana hufuatilii. Nakuletea ramani muda so mrefu.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Ha ha ha Soma ubao. Nb inawezekana hufuatilii. Nakuletea ramani muda so mrefu.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Bado unaandalia ile ramani tu, Mji wa Khason waliachiwa majeshi ya Urusi waingie na wakatangaza kuuchukua lakini kumbe waliingizwa kwa mtego hatima wakawa traped 2000.,
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] iyo labda ni kherson ya kwenye ndoto
Bado unaandalia ile ramani tu, Mji wa Khason waliachiwa majeshi ya Urusi waingie na wakatangaza kuuchukua lakini kumbe waliingizwa kwa mtego hatima wakawa traped 2000.,
 
Human being We are just Fighting for nothing... chanzo Cha migogoro yote duniani ni greedy...Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] iyo labda ni kherson ya kwenye ndoto
wazee wa kulishwa vitu vizito , day 1 tulisikia vilio dunian wa ukraine wakijificha kweny maandaki ila leo wapo wanadunda mtaan huko kyiev soon tutasikia wahuni wapo ndan ya ardhi ya Urusi , narudia tena hata Hitler aliingia had km chache kufika moscow ila akrudishwa nyuma , pia Hitler aliiteka Nusu ya ufaransa ila alitimuliwa mwishowe pia Napoleon aliiteka karibu nusu ya ulaya ila mwishowe alianguka , Ottonman aliikamata karibu nusu ya ulaya ila mwishowe alianguka , Urusi iliikamata karibu nusu ya Afghanstan ila mwishowe akatimuliwa , HUEZ PIGANA NA WALIO KWENYE NCHI YAO HLF UKASHINDA
 
Mkuu wambie kwamba Ukraine sasa anapapatua Crimea ambayo haikuwa na matumaini kabla
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] iyo labda ni kherson ya kwenye ndoto
Ukraine saivi anapapatua Crimea ambayo tayari ilikuwa kwenye himaya ya Urusi na ilikuwa haina tena plan kwamba russia washapachika bendera zao, sasa moto unawawakia
 
UKRAINE ni mali ya URUSI
 
Kutoku side upande wowote kumefanya SMO iishe MKUU
RUSSIA kamatia hapo hapoooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa, unaendelea kushabikia loss of life
Ndio,wao sio wa kwanza kufa waendelee kufa tu kama walivyokufa/wanavyokufa raia wa mataifa mengine kwa utemi wa hao team upinde
Nalog off Z
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…