MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
... hakuna mwenye akili timamu atakayefurahia hata kifo kimoja cha askari wa Ukraine wanaolinda nchi yao, utaifa wao, na watu wao. Kinyume chake, ni asiyekuwa na akili timamu pekee ndiye ambaye hatafurahia mamia ya vifo vya askari wavamizi wanaoua watoto, wanawake, na wazee wa Ukraine wasio na hatia.
Kwa kifo kimoja cha askari wa kirusi maisha ya makumi ya raia wasiokuwa na hatia yanakuwa yameokolewa. Mungu awabariki wanaotekeleza kazi hii njema kwa gharama ya maisha yao na awalaani warusi mara elfu! T14 Armata, Proved, kp kipanya44, Frank Wanjiru, MK254, et. al.
Ha ha ha!! Wameanza kuuliza kwanini tunafurahia vifo vya Warusi, yaani mtu uvamie nchi ya watu na kuua watoto na wazazi wao na kusambaratisha nyumba za watu na kuwatesa kisa uuawe watu wahoji kwanini tunafurahia, kwanza hao Warusi wanapiga miundo mbinu ya raia kabisa pamoja na nyumba za kifamilia, wauae yaani tu wafe mbwa...