Ukraine waanza maandalizi ya wapiganaji milioni moja ili kutwaa miji ambayo Urusi aliambulia

Watu huwa wanajiandaa kabla ya Vita na siyo ndani ya vita kama hawakujiandaa Basi sahivi kilicho baki ni wajiandae kushindwa kichapo kinacho tembea huko mbwa,kuku, na paka wenyewe hawaonekani mtaani

Kama kuku wenyewe wameenda kuomba uraia Russia ni nan mwenye akili timamu atajiunga Ukraine akapigane Vita anayojua kabisa atashindwa
 
Wanaota tu hao. Unafikiri kupata askari milioni moja ni kitu cha mchezo?
 
Mwambieni Mrusi akosee njia ashambulie kataifa kamoja ka NATO ndio muone nini maana ya NATO.....
Mpaka sasa mnalizwa na wabeba javelin waliofyeka msafara wote...
Ila unateseka sana aisee. Bahati mbaya ulichagua upande ambao haujakupa matumauni hadi sasa . Ulidhani mikwala ya Joe ingekufanya uwe na furaha, kutoka 40bil usd hadi 0.8bil. Huku wengine wakiachia ngazi. Russia ni shida ameleta njaa mpaka Kenya watu wako na mabakuli kwa road.
Ameyumbisha uchumi hadi kibera ambako hata Odessa hawajawahi kufika
 
Hata vita ya kijasusi ni kupambana . PM wa Uk yuko wapi? FSB wabaya hao .bado Germany pananuka hata hapo Kenya mtamwaga damu ngoja uchqguzi uje. Usifikiri kujua hicho kiswahili utavuka uje Tanga kama mzigua. No thank you
 
Haka kainchi saizi ya mkoa wa Urusi kameshindikana kufumua....supapawa la hovyo

Unataka akafute? Hawako vitani, wanakamata magaidi.
Wakiingia vitani hakuna maveterani wa Nato na Ulaya wanaopambania Ukraine watabaki!
 
Hakuna raia wa Ukraine ama nchi yoyote atakayeshoboka kuomba uraia wa nchi maskini na ya kidikteta kama Russia.

Russia ni nchi mojawapo ya Africa iliyochangamka.

Hapo tu anahangaika na Ukraine kwa miezi sasa tena baada ya kuishambulia Ukraine kwa kushtukiza. Vipi kama angetoa onyo kabla la kuishambulia Ukraine wakajipanga?

Hakuna kitu Putin anakijutia kama kuivamia Ukraine ndo maana amekuwa akiwatimua na kuwabadilisha majenerali wake kila mara akiamini wanamhujumu kumbe amedodewa na mambo.
 
Wazungu ni wajanja sana sio kwamba wanashindwa kumsaidia Ukraine kumtimua Russia bali wanavuta muda wa vita ili Russia aingie gharama kubwa huku vikwazo kila eneo akishtuka imebaki Zimbabwe.

Ukitaka kuamini westerners wanavuta muda tu wa vita ili kumtia hasara kubwa Russia fikiria pale Russia alipotaka kuivamia Kiev alishindwa mapema sana kwasababu mabeberu hayakutaka mji mkuu utekwe hiyo ingekuwa ushindi kwa Russia.

Watapigana huko huko mipakani tu ili Russia aendelee kula loss mwisho wa siku aondoke kwa aibu.

Russia ameonesha udhaifu mkubwa sana atadharauliwa na nchi hadi za Africa.
 
Putin amechimba mikwara kibao sijui Finland na Sweden wakijaribu kujiunga na NATO tu atawasambaratisha vibaya.

Kiko wapi tayari Finland na Sweden wameshaweka mguu mmoja ndani ya NATO bado kukamilisha tu uanachama kamili. Kafanya nini Russia?
 
Kumbe wanategemea msaada wa mabeberu? Nlijua ni uwezo wao wenyewe.

NB: Urusi kafunga koki ya nord strimu.
 
Sasa hao wanajeshi million moja watapata wapi mahandaki ya kujificha pindi majeshi ya mrusi yakiwafikia
 
Wanaota tu hao. Unafikiri kupata askari milioni moja ni kitu cha mchezo?

Sio askari, ni wapiganaji, wazalendo kwenye nchi yao, watakusanya wote, mapolisi, mgambo, na yeyote mwenye uwezo wa kunyanyua bunduki na kulenga shabaha. Kumbuka walichokifanya pale Kyev mpaka Mrusi akakimbia, sasa ndicho wanataka kufanya kwa kuita kila yeyote kwenye nchi yote waokoe huto tumiji Mrusi ameingia.
 

Nilichagua upande unaonipa raha hadi naumwa, wabeba javelin walifaulu kufyeka msafara wote....kama movie kabisa yaani.
 
Hata vita ya kijasusi ni kupambana . PM wa Uk yuko wapi? FSB wabaya hao .bado Germany pananuka hata hapo Kenya mtamwaga damu ngoja uchqguzi uje. Usifikiri kujua hicho kiswahili utavuka uje Tanga kama mzigua. No thank you

Urusi kwa sasa hana jeuri yoyote ya ujasusi maana hao majasusi walimdanganya Putin kwamba ataiteka Kyev kirahisi, ila alichokutana nacho pale hadi raha.... aliishia kuwafuta kazi wakuu wa FSB.
 
Unataka akafute? Hawako vitani, wanakamata magaidi.
Wakiingia vitani hakuna maveterani wa Nato na Ulaya wanaopambania Ukraine watabaki!

Kwa hasara aliyoingia, yaani zana zaidi ya walizo nazo JWTZ, ndege zaidi ya mia mbili, meli kubwa kubwa, majenerali na mengine mengi yote ila kaambulia tumiji twa huko mipakani, kainchi kamemshinda kufumua.....tena ukizingatia anapiga mabomu kwa raia kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…