Ukraine waanza maandalizi ya wapiganaji milioni moja ili kutwaa miji ambayo Urusi aliambulia

MK254 nakupendaga kwenye suala la kutokata tamaa na kujipaga moyo 🤣🤣🤣🤣 silaha mpy, morden zinahitaji new training, naamini unajua hilo sio hata hapo Kenya, naamini wanajeshi huenda trainings za miaka au miezi ya kutosha.

Haya niambie hao askari 1M wapya ni NATO au wamerekruite vijana wa mtaani?
 
Pamoja na masilaha mazito mnayowapatia hao ukraine na mescenaries wa kutoka Nato mbona Mrusi anazidi kutwaa majiji?
Usilolijua shida ya mrusi anataka nato ajitokeze laivu aone, hata Kama mrus atashindwa kumbuka zipo nchi nying zinazomuunga mkono mrusi hayupo peke yake na ikitokea nato wakamchokoza wajiandae wazungu kuwa wakimbizi Afrika

Sent from my Infinix X657C using JamiiForums mobile app
 

Silaha mpya zitatumika na wazoefu, ila wapiganaji milioni watapewa kalashnikov za kawaida na kuingia mtaani, watakusanywa mgambo, mapolisi na wote wenye uwezo wa kufundishwa namna ya kulenga shabaha, ndicho kilimkimbiza Marekani akaitoroka Vietnam maana ilitokea hadi akina bibi mashambani wanafyatua bastola....

Hii ndio shughuli ilimkimbiza Urusi akatoroka Kyev, maana ghafla alianza kushambuliwa na kila mtu....
Huto tumiji twa huko mpakani amefaulu kututeka maana wananchi wengi huko wanaongea Kirusi na wana asili ya Urusi.
Sasa subiri nyomi ya Wa-Ukraine halisi kuja kukomboa tumiji twao...

 
Shida so kudunda shida hataki maridhiano na ndugu yake anaona Bora kutunidmsa kifua huku anaangamiza taifa lake

Sent from my Infinix X657C using JamiiForums mobile app

Maridhiano yapi na adui ambaye alikuja na nia ya kuiteka nchi yake, kaja mpaka mji mkuu na kufyatuliwa akaambulia kuteka tumiji twa huko mipakani, hamna cha maridhiano hadi afe raia wa mwisho Ukraine, wapigane hadi wa mwisho.
 
Ujeremani kampigia magoti Putin asizime gesi
 
Kojoa ulale
 
Ujeremani kampigia magoti Putin asizime gesi

Hayahusu, hapa tunajadili Ukraine....Urusi kushindwa kufumua kainchi kadogo ameambulia tumiji twa huko mipakani....

 
Baadae msije na malalamiko kwamba anaua RAIA🤣🤣🤣🤣 maana kila kiumbe ni mwanajeshi
 
Mkuu, tulia tu kwanza wakishairudisha ndo uvimbe. Narudia tena, bora kutulia, na usidhani namsapoti Puttin, NO.
 
NATO wameshatimiza malengo, Finland na Sweden kuwa mwanachama wa umoja wa kujihami. Kilichobaki kuendeleza low intensity war hadi Putin anadondoka kwa uchovu na hasara kubwa uchumi wa Russia.

---------->The war in Ukraine could last for years, the head of NATO said on Sunday, as Russia stepped up its assaults after the European Union recommended that Kyiv become a candidate to join the bloc.

Jens Stoltenberg said the supply of state-of-the-art weaponry to Ukrainian troops would boost the chance of freeing its eastern region of Donbas from Russian control, Germany's Bild am Sonntag newspaper said.

"We must prepare for the fact that it could take years. We must not let up in supporting Ukraine," Stoltenberg, the secretary-general of the military alliance, was quoted as saying.

"Even if the costs are high, not only for military support, also because of rising energy and food prices."

British Prime Minister Boris Johnson, who visited Kyiv on Friday, also spoke over the weekend of a need to prepare for a long war.

This meant ensuring "Ukraine receives weapons, equipment, ammunition and training more rapidly than the invader", Johnson wrote in an opinion piece in London's Sunday Times
 
Sijawahi kusikia mashambulizi na plan zote za kivita zikitangazwa
Hata hii habari imeandika hayo na mleta habari umeipitia juu juu tu

Hivi unaponiambia unakuja kupigana mimi ntakaa nakusubiri na birika la chai eti

Vita sio utani wa jadi
 
Nimesoma mistari mitatu ya kwanza tu nikajua we ni bogus sijaendelea kusoma upupu ulioandika
Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…