Ukraine waanza maandalizi ya wapiganaji milioni moja ili kutwaa miji ambayo Urusi aliambulia

Mkuu, tulia tu kwanza wakishairudisha ndo uvimbe. Narudia tena, bora kutulia, na usidhani namsapoti Puttin, NO.

Samaki mkunje akiwa bado mbichi, huu ndio muda wake, mbele kwa mbele...
 
Reactions: Tsh
Hivi kuna mapambano yakistaarabu🤔🤔🤔

Asiyejua ustaarabu mwoga mwoga hupiga mabomu hata kwenye mall, sehemu raia wametulia hawana hili au lile, wapo wanacheza bao ghafla mzinga unatua na kulipuka......
 
Mrusi alilenga kuitwaa ile miji.

Kwa wanajeshi wake walivyouawa pale Kyev na limsafara lote la kilomita 64km kufyekwa, ni dhahiri alipiga mahesabu ya hovyo....
 
Kwa wanajeshi wake walivyouawa pale Kyev na limsafara lote la kilomita 64km kufyekwa, ni dhahiri alipiga mahesabu ya hovyo....
Sikatai wala kukubaliana nawe.
Naangalia impact maana vita hupiganwa ndani na nje.

Ninachokiona ni kwamba Urusi inapigana na mataifa ya ulaya na US wakijificha nyuma ya vikwazo na kuisaidia kisilaha Ukraine.

Hawawazii amani ya dunia bali ufundi na teknolojia yao ya mitambo ya kuua watu.

Yeyote anayeshabikia kwa upande wowote wa vita hii niwendawazimu wa karne
 
Asiyejua ustaarabu mwoga mwoga hupiga mabomu hata kwenye mall, sehemu raia wametulia hawana hili au lile, wapo wanacheza bao ghafla mzinga unatua na kulipukaMall wapi kulikuwa na ghala la silaha nearby lilipolipuliwa moto ukafika kwenye mall

Asiyejua ustaarabu mwoga mwoga hupiga mabomu hata kwenye mall, sehemu raia wametulia hawana hili au lile, wapo wanacheza bao ghafla mzinga unatua na kulipuka......
Mall?? Fuatilia vizuri Russia alilipua ghala la silaha liliokua karibu na mall ndio moto ukafika hadi kwenye mall, nadhani umesesema kila raia saivi ni mpiganaji so kaa kwa utulivu
 
Mwambieni Mrusi akosee njia ashambulie kataifa kamoja ka NATO ndio muone nini maana ya NATO.....
Mpaka sasa mnalizwa na wabeba javelin waliofyeka msafara wote...
Kalime wewe acha porojo, ndugu zako hawana chakula we umekaza unyolo tu kubishana humu
 
Russia ni maskini unajua ina rank nafas ya ngapi?? Uchumi wa dunia umeyumba kisa Russia. Unajikuta keyboard warrior ukiwa umekaa kwa shemeji hapo
 
Samaki mkunje akiwa bado mbichi, huu ndio muda wake, mbele kwa mbele...
Kwenye hili mkunja samaki ni NATO na Urusi.
La muhimu hapa ni kupongeza tukio kama lipo in Ukraine favour, sio kufurahia tukio ambalo halijatokea bado na Urusi mwenyewe ameshaprove kuwa anaweza kuhimili misukosuko.
 
Pamoja na masilaha mazito mnayowapatia hao ukraine na mescenaries wa kutoka Nato mbona Mrusi anazidi kutwaa majiji?
Cha kuchekesha zaidi, jeshi la Zelensky linawauzia kwa magendo jeshi la Urusi mizinga na makombora wanayo pewa na USA na EU!!
 
hao Marekani na wengine wote bado hawajatia mguu pale, kwa kweli mpaka sasa nashangaa sana hawa hawa Urusi niliowaogopa miaka yote ndio wamelizwa na kainchi kadogo saizi ya mkoa wao mmoja mpaka wanaita reserves, wamepoteza zana zaidi ya zilivyomilikiwa na majeshi yote ya EAC na wameambulia tumiji twa mipakani.
 
Mall?? Fuatilia vizuri Russia alilipua ghala la silaha liliokua karibu na mall ndio moto ukafika hadi kwenye mall, nadhani umesesema kila raia saivi ni mpiganaji so kaa kwa utulivu

Amekua mjinga wa kuogopa ogopa na kusambaratisha kila kitu mbele yake, hataki kujua ni makazi ya raia au jeshi....hana uwezo wa kuviziana wanajeshi kwa wanajeshi.
 
Kwenye hili mkunja samaki ni NATO na Urusi.
La muhimu hapa ni kupongeza tukio kama lipo in Ukraine favour, sio kufurahia tukio ambalo halijatokea bado na Urusi mwenyewe ameshaprove kuwa anaweza kuhimili misukosuko.

Urusi ameonyesha udhaifu wake, amesomwa alivyo useless, kainchi kadogo kamemliza kisi kwamba sasa hivi hawezi kulianzisha hata na Finland hapo maana ataisha, alisema Finland au Sweden asithubutu kujiunga NATO, sasa wanaifanya kwa jeuri maana wamemona alivyo hovyoo supapawa wa mchongo.
 
Epukeni kununua nyama za makopo kutoka Ukraine, Russia anafungua bucha za nguruwe wa kizungu

Hehehe!! Kweli mumechanganyikiwa, nilijua dini yenu hairuhusu hata kutaja neno nguruwe, yaani mpaka huu ugomvi unaisha...hehehe hapa nawaza tu.
 
Watu wamejipanga toka kuvunjika kwa Soviet mpaka leo, halafu mtu aanze kujiandaa sasa hivi na ashinde vita? We nae unakuaga kama kiazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…