Watu wamejipanga toka kuvunjika kwa Soviet mpaka leo, halafu mtu aanze kujiandaa sasa hivi na ashinde vita? We nae unakuaga kama kiazi
Eh mungu isaidie hii mbuziNimesoma mistari mitatu ya kwanza tu nikajua we ni bogus sijaendelea kusoma upupu ulioandika
Ahsante
Hem kunywa maji yakutosha kwanza MKUU halaf uendelee kuandikaPutin amechimba mikwara kibao sijui Finland na Sweden wakijaribu kujiunga na NATO tu atawasambaratisha vibaya.
Kiko wapi tayari Finland na Sweden wameshaweka mguu mmoja ndani ya NATO bado kukamilisha tu uanachama kamili. Kafanya nini Russia?
Mkuu kwa ninavyofahamu comments zako naamini ni mwerevu na mchambuzi mzuri.hao Marekani na wengine wote bado hawajatia mguu pale, kwa kweli mpaka sasa nashangaa sana hawa hawa Urusi niliowaogopa miaka yote ndio wamelizwa na kainchi kadogo saizi ya mkoa wao mmoja mpaka wanaita reserves, wamepoteza zana zaidi ya zilivyomilikiwa na majeshi yote ya EAC na wameambulia tumiji twa mipakani.
Mkuu kwa ninavyofahamu comments zako naamini ni mwerevu na mchambuzi mzuri.
Lakini hii ya kujaza ushabiki kwenye posts zako za hivi katibuni ni kujishusha sana.
Tuiangalie vita na makandokando yake. Kuna mambo hayapo sawa na wanaoumia ni civilians
Ni kama unabitishia ili nikuhofie.Jadili hoja wewe niache, namjibu kila mtu anavyokuja, ukinijia kwa heshima nitajiweka kwa kiwango chako, ila ukinijia kwa vijembe nashuka na wewe huko huko, hivi vita watu wamejitoa ufahamu wengine wanapelekeshwa na mizuka ya kidini eti kisa unachukia Marekani sasa kila ukiona uzi umeanzishwa unaomsema vibaya Putin lazima uje na vijimambo vya hovyo.
Hivi vita hata ofisini na hata huko Quora naendana na kila anayenijia kulingana na ujio wake, watu wa hiyo dini yenu kwa chuki za Marekani wamejitoa ufahamu kabisa hawaambiliki kitu, ofisini na kote, hata kule Quora ukiona jina Ahmad sijui Abdalla anatiririka pumba na kuomba Ukraine wauawe mpaka kizazi kifutike.....wana hasira hata kumzidi Mrusi menyewe.
Kwani iko mikononi mwa nani sasaivi, ulikua ni mtego wa panya walichofanyiwa pale hawatosahauBy the way uliona hii Ukraine Plants Flag On Snake Island, Russians Claim Deadly Response
Mzee unaonekana unalipenda "la ulinzi wa Wananchi" haukosi kulitaja kila wakati, nini tatizo?Hayo masilaha yamemtesa sana Urusi, alifoka siku za kwanza eti sijui atapambana na yeyote atakayempa kraine silaha, sasa hivi zinaendelea kushushwa Ukraine na kumtesa, yeye ameingia hasara zaidi ya inventory yote ya JWTZ ili tu kuteka tumiji twa huko mipakani.
Siku ile Putin anatangaza vita kuanza niliogopa sana nikadhani ndani ya siku tatu Ikulu ya Kyiv inatekwa. Kulikuwa na msafara wa km 64 wa vifaru na gari vita nyingine. Mbaya zaidi ilikuwa ni vita ilianza bila Ukraine kuwa amejiandaa kwa lolote. Putin akapiga biti kuwa ili askari wa Ukraine awe hai, aweke silaha yake chini, na amkamate Rais wa Ukraine ili akabidhiwe kwa Urusi. Javelin zilipokuja za kutosha, vifaru ikaonekana ni vilaini kama matikiti maji. Mwishoni askari wa Urusi wakavua uniforms, wakakimbia wakaacha vifaru.Maridhiano yapi na adui ambaye alikuja na nia ya kuiteka nchi yake, kaja mpaka mji mkuu na kufyatuliwa akaambulia kuteka tumiji twa huko mipakani, hamna cha maridhiano hadi afe raia wa mwisho Ukraine, wapigane hadi wa mwisho.
RUSSIA TAIFA TEULESiku ile Putin anatangaza vita kuanza niliogopa sana nikadhani ndani ya siku tatu Ikulu ya Kyiv inatekwa. Kulikuwa na msafara wa km 64 wa vifaru na gari vita nyingine. Mbaya zaidi ilikuwa ni vita ilianza bila Ukraine kuwa amejiandaa kwa lolote. Putin akapiga biti kuwa ili askari wa Ukraine awe hai, aweke silaha yake chini, na amkamate Rais wa Ukraine ili akabidhiwe kwa Urusi. Javelin zilipokuja za kutosha, vifaru ikaonekana ni vilaini kama matikiti maji. Mwishoni askari wa Urusi wakavua uniforms, wakakimbia wakaacha vifaru.
Kitakachoisumbua Ukraine ni kuwa, Urusi ina askari wengi na pia wamezoea kufa wengi kwenye vita.