Ukraine waanza mtiti wa mizinga mpya waliyopewa juzi, washusha moja Kherson

Ukraine waanza mtiti wa mizinga mpya waliyopewa juzi, washusha moja Kherson

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Walipua ghala la silaha wanatumia mfumo wa silaha aina ya HIMARS waliopewa na Marekani, ina uwezo wa kurusha mizinga ya masafa marefu na kutoweka kimya kimya. Ukianza kujibu pale shambulizi lilikotokea unakuta patupu.

At least seven people were reportedly killed by a Ukrainian missile strike on a large ammunition store in the town of Nova Kakhovka, in Russia-occupied Kherson, in a strike attributed to recently acquired US weapons.

The claims of fatalities were made by the Russian-installed administration in the town and could not be immediately verified, though footage on social media showed a large explosion lighting up the night, burning ammunition and towering smoke.

 
Picha za huko kherson ziko wapi?
 
Kama ni kweli amefanya mashambulizi ya aina hiyo asubiri majibu muruwa

Hamna jipya, aliogopwa siku ya limsafara, tulidhani ndio kiama cha Kyev, lakini lilivyofyekwa, hadi raha...
 
Sasa mbona hatuwaoni wakisonga mbele kutwa tunasikia jeshi la Urusi limechukua maeneo ya Ukraine[emoji1787][emoji1787][emoji16]

ni mbinu ya kivita warusia wanashambulia kutikea mbali. na silaha za ukraine ni za masafa mafupi.

Sasa Ukraine wanawaachia russia maeneo ili wawavute karibu. ukraine kuitwaa kharkiv ni mfano tosha.
 
Tazama ALJAZEERA imelipuliwa yote Juzi usiku.

Wamalize Vita tu maana haina faida
 
Back
Top Bottom