Kumekucha, kwanini usiseme HIMARS zipo away from Lysyschansk? Huyu mnyama ni balaa.Majeshi ya Ukraine yapo umbali wa 6km kutoka mji wa Lysychansk. Majeshi ya Urusi kwenye mji huo yameanza kuondoka ili kuogopa mzingiro. Pia,Majeshi ya Ukraine yapo umbali wa 35km kutoka mji wa Lyman.Majeshi ya Urusi yameanza kuondoka pia kutoka katika mji huo.
Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app