Kumekucha, kwanini usiseme HIMARS zipo away from Lysyschansk? Huyu mnyama ni balaa.Majeshi ya Ukraine yapo umbali wa 6km kutoka mji wa Lysychansk. Majeshi ya Urusi kwenye mji huo yameanza kuondoka ili kuogopa mzingiro. Pia,Majeshi ya Ukraine yapo umbali wa 35km kutoka mji wa Lyman.Majeshi ya Urusi yameanza kuondoka pia kutoka katika mji huo.
Sio lazima wote wakuelewa, sisi wachache tukikuelewa inatosha, achana nao wavaa kobaz.Sijui kiswahili Wala English sahihi ila meseji sent, delivered and hit the target
Sema hujaelewa tu sio dhambiUngechagua moja kutumia Kiingereza au Kiswahili
Maana huo mkorogo ulioandika hapo aibu naona mimi
Uandishi mchafu sana
Hiyo lugha naishi nayo tangu nikiwa Mzizima Aga Khan nursery na primary.Sema hujaelewa tu sio dhambi
Jikite kwenye sarufi maana (semantics)Ungechagua moja kutumia Kiingereza au Kiswahili
Maana huo mkorogo ulioandika hapo aibu naona mimi
Uandishi mchafu sana