ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,417
- 9,604
Urusi mpaka Leo kashindwa kutoa ushahidi usio mashaka juu ya haramu inayofanyika kwenye hizo maabara. Marekani ina Biolabs kibao sehemu nyingi duniani ikiwemo hapa Tanzania zikijihusisha na tafiti mbalimbali hazipo Ukraine pekee.Amevamia Kwa sababu ya NATO au Marekani.urusi hawezi kuamua kuingia vitani na ndugu zake Ukraine hivihivi wale ni ndugu kabisa.marekani walikuwa mpaka na maabara haramu Ukraine.na maeneo yaliyochukuliwa ni maeneo halali ya urusi ukiangalia historia.kwa kifupi Ukraine haitaweza kuwa chini ya NATO kame kwa sababu ile ni kama urusi ndogo.