Amevamia Kwa sababu ya NATO au Marekani.urusi hawezi kuamua kuingia vitani na ndugu zake Ukraine hivihivi wale ni ndugu kabisa.marekani walikuwa mpaka na maabara haramu Ukraine.na maeneo yaliyochukuliwa ni maeneo halali ya urusi ukiangalia historia.kwa kifupi Ukraine haitaweza kuwa chini ya NATO kame kwa sababu ile ni kama urusi ndogo.