Ukraine waliingia mkenge: Mkataba wa kusafirisha ngano uliposainiwa walidhani Odesa haitashambuliwa, wakaficha silaha hapo!

Ukraine waliingia mkenge: Mkataba wa kusafirisha ngano uliposainiwa walidhani Odesa haitashambuliwa, wakaficha silaha hapo!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Hatimaye Ukraine na Urusi walifikia makubaliano ya kuruhusu ngano ya ukraine kusafirishwa kwa kutumia bandari ya Odessa. Ukraine walivyoona hivyo, wakaamua kupeleka kwenye bandari hiyo meli iliyokuwa na mitambo ya kurushia makombora ya HIMARS yaliyotoka Marekani. Walifikiri kuwa bandari ya Odessa haitashambuliwa kwa kuwa imekubalika kutumika kusafirisha ngano!

Urusi ikaishambulia meli hiyo na kuteketeza mitambo na makombora yote ya HIMARS yaliyokuwa kwenye meli hiyo kwa kutumia "High recicion missile system) kutoka kwenye manowari zake zilizopo black sea!! Ulimwengu wote wa magharibi ulilia sana! Zelensky alipiga makelele sana kuwa Urusi imekiuka makubaliano!! Urusi imejibu kuwa makubaliano hayo hayazuii special military operation, wala mashambulizi hayo hayazuii usafirishaji wa ngano!

Grain deal won’t affect military op in Ukraine – Moscow​

Russia says there is nothing in the UN-backed agreement that restricts hitting military targets.
There is nothing in the recently signed deal to unblock grain exports from Ukraine that forbids Moscow from continuing its special military operation, destroying military infrastructure and other military targets, Russian Foreign Minister Sergey Lavrov said on Monday.
“Under the grain deal, Russia did not assume any obligations that would prevent the continuation of the special military operation and the destruction of military infrastructure,” Lavrov said, referring to the missile strike conducted by Russian forces on Saturday in the port city of Odessa.

Missiles for US-made HIMARS destroyed – Moscow​

Russia’s Defense Ministry also says a targeted strike hit US-supplied M777 howitzers in Ukraine
Moscow has destroyed US-supplied weapons, including heavy artillery, during a strike on Sunday in western Ukraine, according to the Russian Defense Ministry.

Storage facilities containing missiles for HIMARS multiple rocket launchers and shells for M777 howitzers were targeted, the ministry announced on Monday.

A shipment station outside Bogdanovtsy village, which hosted the munitions, was hit with “sea-based high-precision long-range weapons,” it added.
 
Hahahahahhahahahah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Ndio maana wanapiga kelele sana kumbe mzigo umeliwa [emoji16][emoji16],

Hapa Nato lazima iwaume na watazidi kusaga meno
Ila Russia wahuni sana.
Watu hawakubali TU,lkn ukiangalia toka op ianze,silaha zilizotoka NATO kwenda kwa Ukraine, jinsi zilivyoliwa na Russia ni nyingi mno.
 
Hahahahahhahahahah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Ndio maana wanapiga kelele sana kumbe mzigo umeliwa [emoji16][emoji16],

Hapa Nato lazima iwaume na watazidi kusaga meno
NATO itawauma na wewe mswahili utapata shida ile ngano na wewe ulikuwa ule pia. Toka kwy fikira mbovu

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hivi Urusi bado ijamalizana na yukraine tu ..mbona Ni nchi ndogo Sana Ni mkoa wa Urusi tu ule..
 
Mmelipua ghala la ngano mnasema Himars siku mrusi akifsnikiwa kulipua Himars moja atafanya sherehe maana kila siku ni kutunga stori wamezilipua ushahidi hakuna mnajifurahisha tu.
 
Mmelipua ghala la ngano mnasema Himars siku mrusi akifsnikiwa kulipua Himars moja atafanya sherehe maana kila siku ni kutunga stori wamezilipua ushahidi hakuna mnajifurahisha tu.
Dharau kama hizi ndizo zinaiponza NATO na Ukraine Kila siku kipigo Cha mbwa koko, mwanzo walisema Urusi imeshindwa lakini baadae wakasema wataipeleka Urusi mahakama ya uhalifu wa kivita Sasa sijui Urusi ipi wanaizungumzia
 
Hahaaa kumbe HIMARS zimeteketea ndo maana makelele hivi
Na Wamekaa kimya utadhani hawajui

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom