Ukraine walipua makao makuu ya Wagner group, sasa sijui Urusi watategemea msaada wa nani tena

Urusi bado hajapata njia ya kumaliza hii Vita...kweli 'kupanda mchongoma ila kushuka ndio ngoma'.

Urusi bado hajapata njia ya kumaliza hii Vita...kweli 'kupanda mchongoma ila kushuka ndio ngoma'.
Rafiki yangu Proved nilikuambia usiwe mwepesi wa kuamini Kila baya linalosemwa na Russia haters wa humu.wengi ni propaganda TU.

Sasa Leo Wagner Group ndo habari ya Kila Kona.
Kama makao Yao makuu yalilipuliwa Hawa walioiteka Soleder ni Ghosts?
 
Hii habari ilikuwa ya mchongo🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…