Ukraine wapiga mabomu bomba la mafuta ndani ya Urusi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Supapawa anaendelea kupigwa ndani kwake....tena ndani ndani kule alikosema siku kukiguswa atafanya kitu....na kweli alijaribu kufanya kitu kwa kutuma mizinga ya hypersonic yote ikashushwa na Patriot.
===================

Ukraine struck oil pipeline installations deep inside Russia on Saturday with a series of drone attacks including on a station serving the vast Druzhba oil pipeline that sends Western Siberian crude to Europe, according to Russian media.

Ukrainian drone attacks inside Russia have been growing in intensity in recent weeks, and the New York Times reported that U.S. intelligence believes Ukraine was behind a drone attack on the Kremlin earlier this month.
 
Source zako bwana ukiongezea na kupapatikia mambo - ni wapi Urusi yenyewe imekiri kwamba station yake kubwa inayo tumika ku-pump/sambaza mafuta imeshambuliwa kwa Drones - US na NATO wakubali ukwelikwamba njama zao za kutaka kuiangusha Urusi kijeshi na kiuchumi zimegonga mwamba - hawana jinsi watafute shughuri nyingine ya kufanya na sio kujitia kushindana na Urusi kwa lolote - Urusi ni mti wa mpingo watake wasitake.
 
Source zako bwana ukiongezea na kupapatikia mambo - ni wapi Urusi yenywe imekiri kwamba station yake kubwa inayo tumika ku-pump/sambaza mafuta imeshambuliwa kwa Drones!!

Wewe leta source ya waarabu wenu.... mpaka mtaita maji ma... supapawa anapigwa ndani na alisema akiguswa huko atafanya kitu, hypersoni zake zimekua toy hazina chochote.
 
Supapawa anaendelea kupigwa ndani kwake....tena ndani ndani kule alikosema siku kukiguswa atafanya kitu....na kweli alijaribu kufanya kitu kwa kutuma mizinga ya hypersonic yote ikashushwa na Patriot.
===================

Ukraine struck oil pipeline installations deep inside Russia on Saturday with a series of drone attacks including on a station serving the vast Druzhba oil pipeline that sends Western Siberian crude to Europe, according to Russian media.

Ukrainian drone attacks inside Russia have been growing in intensity in recent weeks, and the New York Times reported that U.S. intelligence believes Ukraine was behind a drone attack on the Kremlin earlier this month.
Ngoja kwanza Nikupe like kwa kutuhabarisha nawahi Dominika![emoji120]
 
Wewe leta source ya waarabu wenu.... mpaka mtaita maji ma... supapawa anapigwa ndani na alisema akiguswa huko atafanya kitu, hypersoni zake zimekua toy hazina chochote.
Nilisha kwambia kwamba wewe una a deep seated psychological problem na Waarabu - sijui waliwahi kukufanyia nini katika makuzi zako - yaani hata katika discussion ambazo Waarabu wala awahusiki wewe utawatumbukiza tu!! Kwa nini??

Kuhusu Russian hypersonic missiles ntakujibu siku za usoni, kama unashindwa kukubaliana na American five star Generals kwamba kisayansi taifa la Amerika hivi sasa hawana air defense system hata majo ya kujikinga dhidi ya missiles hizo za kisasa za Urusi halafu bila aibu unatakakuzuga watu eti Patriot ADS ina uwezo wa kutungua Kinzhal, glide vehicle au SARMAT missiles mawazo hayo ni ndoto za mchana na ma General na wanasayansi wa Kimerikani hilo wanalijua sana.

Cha ajabu watu baki wa barabarani ndio wanajifanya wana moral Authority ya kubishana na ma Generali na wataalamu wa kijeshi wa masuala ya missiles - tatizo lenu hasa hamtaki Taifa lolote lizidi kete Merikani kwa nyanja yoyote ile hasa hasa masuala ya silaha za kijeshi baadhi yenu hilo linawauma sana sana, mtabishi usiku kucha.
 
Tatizo mnawaabudu sana waarabu hadi ndio wamewashikilia kimawazo na kimtazamo kwenye kila kitu, sasa hivi mpo mnashabikia mauaji anayofanya Putin eti mnadhani mnaikomoa Marekani kisa mwarabu alishawaelekeza mchukie Marekani.
Hata hivyo licha ya chuki zote hivo bado Marekani ndio bingwa wa dunia, kwanza wengi mnapatamani sana pale Marekani.
 
Ukraine baada ya kupewa kichapo huko maeneo ya vita
majeruhi wakapelekwa hospital
kumbe na hospitali ikawa targeted ikapondwapondwa hakuna cha mgonjwa au daktari aliyetoka salama
 
Attachments

  • tmp-cam--339232958.jpg
    tmp-cam--339232958.jpg
    10.5 KB · Views: 4
Source zako bwana ukiongezea na kupapatikia mambo - ni wapi Urusi yenyewe imekiri kwamba station yake kubwa inayo tumika ku-pump/sambaza mafuta imeshambuliwa kwa Drones - US na NATO wakubali ukwelikwamba njama zao za kutaka kuiangusha Urusi kijeshi na kiuchumi zimegonga mwamba - hawana jinsi watafute shughuri nyingine ya kufanya na sio kujitia kushindana na Urusi kwa lolote - Urusi ni mti wa mpingo watake wasitake.
Mkuu unataka source ipi tena au hizi habari hazijakufurahisha??
Fuata hiyo links jamaa ameeka au kiingereza hakipandi uliogopa umande shuleni?
 
Both - are you happy now? Unacho sahau wewe ni kwamba vita Ukraine inavyo shinda ni vya mitandaoni na magazeti ie virtual war not real - consequently habari nyingi zinazo letwa humu niza kutunga pamoja na audio na video clips utaalamu huo upo sana na kuna battalion za watu wanalipwa hela nzuri kuwazuga watu - wengine ni waswahili wenzetu.
 
Kama ni za kutunga lete zako japo mstari mmoja tu ambayo si ya kutunga., Mimi naamini kuna habari zikija hapa zinakuwa hazikufurahishi, habari za Urusi kuteka bakhmut hukuleta habari za battalion wala chochote
 
Huwa siwaelewi sana hawa, kwanza huyu jamaa Bukyanagandi sijawahi kuona kaanzisha uzi humu miaka yote hii, ila huwa kama robot fulani hivi kuponda source za kila habari ambazo hazijampendeza, na huandika insha refu ambayo isiyokua na mantiki au coherent, ukijaribu kusoma alichoandika unakosa kuunganisha logics zozote humo, siku hizi mimi husoma mstari mmoja tu wa mwanzo napuuza upupu mwingine wote.
 
Source zako bwana ukiongezea na kupapatikia mambo - ni wapi Urusi yenyewe imekiri kwamba station yake kubwa inayo tumika ku-pump/sambaza mafuta imeshambuliwa kwa Drones - US na NATO wakubali ukwelikwamba njama zao za kutaka kuiangusha Urusi kijeshi na kiuchumi zimegonga mwamba - hawana jinsi watafute shughuri nyingine ya kufanya na sio kujitia kushindana na Urusi kwa lolote - Urusi ni mti wa mpingo watake wasitake.
Mwamba yuko ofisini anachapa kazi, na anawasalimia kumbe mtu alishazima zamani, ujamaa ni udumavu wa akili bro! pole sana kwa kuota mchana mchana!
 
Huwa siwaelewi sana hawa, kwanza huyu jamaa Bukyanagandi sijawahi kuona kaanzisha uzi humu miaka yote hii, ila huwa kama robot fulani hivi kuponda source za kila habari ambazo hazijampendeza, na huandika insha refu ambayo isiyokua na mantiki au coherent, ukijaribu kusoma alichoandika unakosa kuunganisha logics zozote humo, siku hizi mimi husoma mstari mmoja tu wa mwanzo napuuza upupu mwingine wote.
Wewe unaanzisha nyuzi gani za maana za kwako mwenyewe zaidi ya udaku tu na uongo kuwafanya watu as if hawakuwahi kwenda shule - nilijiunga na JF zamani sana kabla ya kwako, wanao nikumbuka nilikuwa naanzisha mada nyingi kuhusu utofaiti na uwezo wa silaha za magharibi na mashariki including ndege za vita nk - kama ukuwahi kupitia michango yangu ya Zamani up2U -kisaikolojia unapo jaribu kuniponda ponda au kusema sijui usomi ninacho andika huo ni upuuzi mtupu, mtu ambaye umchukulii seriously una ignore comments na una move on lakini hili la kamjibu jibu ovyo hilo linadhilisha kwamba mambo ninayo yasema mengi yana expose story zako za kuokoteza okoteza tu na kuongeza ya kwako ambayo hayana kichwa wala miguu, mfano: eti "Patriot ADS imetungua Kinzhal 4 sijui 6 kwa mpigo" mtu gani mwenye even basic physics za Projectile anaweza kuamini kwamba Patriot Designed to intercept highly predictable supersonic missiles inaweza kweli ku-intercept an erratic flying hypersonic Kinzhal missiles??

FYI Patriot ADS were designed to intercept subsonic, supersonic but not hypersonic missiles ambazo hata flying profiles zake ni highly unpredictable, kama Patriot zilishindwa hata kudhibiti home made(DIY) rockets za waasi wa Yemen leo hii ndio waseme zinaweza kushindana na missiles za Urusi, kweli - leo kwa mfano kumetokea nini,je Patriot zilikuwa wapi kudhibiti Kinzhal, yaani jeshi la Ukraine na US/NATO hawana habari kwamba Urusi inata nguliza kwanza swarm of Drones for a good reason!!! Wapo wapo tuu maneno mengiii makongamano navitisho - wata adhilika sana mwaka huu na silaha zao za kizamani.
 
mkuu wakikujibu niite mbwa
 
Ona liinsha lote bila logic na ndio maana huwa nakupuuza nikisoma mstari wa kwanza, halafu jifunze kanuni za uandishi, uwe unatumia alama za uakifishaji.
Jifunze kuanzisha nyuzi sio unakaa kama lizezeta kazi yako kuponda vyanzo vinavyoleta taarifa usizozipenda.
 
Nilisha kwambia kwamba wewe una a deep seated psychological problem na Waarabu - sijui waliwahi kukufanyia nini katika makuzi zako - yaani hata katika discussion ambazo Waarabu wala awahusiki wewe utawatumbukiza tu!! Kwa nini??

Kuhusu Russian hypersonic missiles ntakujibu siku za usoni, kama unashindwa kukubaliana na American five star Generals kwamba kisayansi taifa la Amerika hivi sasa hawana air defense system hata majo ya kujikinga dhidi ya missiles hizo za kisasa za Urusi halafu bila aibu unatakakuzuga watu eti Patriot ADS ina uwezo wa kutungua Kinzhal, glide vehicle au SARMAT missiles mawazo hayo ni ndoto za mchana na ma General na wanasayansi wa Kimerikani hilo wanalijua sana.

Cha ajabu watu baki wa barabarani ndio wanajifanya wana moral Authority ya kubishana na ma Generali na wataalamu wa kijeshi wa masuala ya missiles - tatizo lenu hasa hamtaki Taifa lolote lizidi kete Merikani kwa nyanja yoyote ile hasa hasa masuala ya silaha za kijeshi baadhi yenu hilo linawauma sana sana, mtabishi usiku kucha.
5 Star General kasema hawana mfumo wa kujikinga na hypersonic zilipopigwa zikashushwa, je wewe ungeamini kipi?
ungeendelea kuamini za kuambiwa au ungechanganya na zako?
 
Umeanzisha uzi wa uongo huku...yaani wewe uko buza huko ujue taarifa hata BBC ambao ni mouth piece zao hazisemi duh
 
Back
Top Bottom