Ukraine wapost video, ngoma ya Kharkiv wameifikisha mpakani na Urusi

Ukraine wapost video, ngoma ya Kharkiv wameifikisha mpakani na Urusi

Eti field marshal (putin)kumbe mgambo tu, aliyedandia mtumbwi wa vibwengo!!wanakwambia eti hiyo ni mbinu ya kivita, amewaacha wajae tu, ili awamalize woteee!!!hahaaaaa
Hawana akili

Mbinu ya kivita uache askari wafe? Russia kazidiwa, tukumbuke pia Ukraine aliharibu miundombinu mingi ya Russia. Ile supply chain sehemu nyingi zilishakatika, bado Kherson huko, tutasikia lolote lile.
 
Eti field marshal (putin)kumbe mgambo tu, aliyedandia mtumbwi wa vibwengo!!wanakwambia eti hiyo ni mbinu ya kivita, amewaacha wajae tu, ili awamalize woteee!!!hahaaaaa
Yaani unapanga mtengo "MWACHE AINGIE", unamuachia na zana zote za kivivta pamoja na majeruhi wako?????????????????????????????
 
Hakika
 
Yaani unapanga mtengo "MWACHE AINGIE", unamuachia na zana zote za kivivta pamoja na majeruhi wako?????????????????????????????
Kuna kutofautikana kukubwa kati ya wizara ya ulinzi na Putin

Wizara ya Ulinzi inasema haiwezi kuendelea na vita sababu Jeshi la Urusi litabaki halina walinda nchi shupavu sababu asilimia 45 ya wapiganaji shupavu waliofunzwa wakafunzika wameteketea Ukraine

Hivyo Jeshi linaona si busara kuendelea na vita.Putin anataka waendelee wanajeshi hawataki wanasema kwa idadi ya Askari na vifaa walivyopoteza kuna hatari.Russia ikabaki Haina Jeshi imara hivyo warudi walinde nchi sababu Heshi litabaki na Askari wapya tu wasio na uzoefu wa kivita

Na kukimbia na kutelekeza vifaa ni kujisalimisha wanajeshi hao waliosalia wasilipuliwe kwenye magari ndio maana wanatoroka hata kwa miguu na baiskeli
 
WARUSI wameondoka na kichwa cha huyu kamanda .R.I.P
694319552.jpeg
 
Putin aksikia neno Himars lazima ajisaidie kwenye hotpot
 
Waukize

Waulize walikaa hapo mpaka I kwa muda Gani kabla ya kuwa eliminated..hao ni wenzao walifanya pia huo ukapuku
View attachment 2354874
View attachment 2354875
Unatubandikia kipicha kimening'inia tu halafu unataka tuamini ndiyo inahusiana na kilichopostiwa.Weka link tukajionee wenyewe kuwa hao uliopost ndiyo hao wa kwenye video,vinginevyo habari yako haina maana yoyote.
 
Eti field marshal (putin)kumbe mgambo tu, aliyedandia mtumbwi wa vibwengo!!wanakwambia eti hiyo ni mbinu ya kivita, amewaacha wajae tu, ili awamalize woteee!!!hahaaaaa
Kwa mujibu wa Ma Field Marshals wa JF pro putin hiyo ndiyo mbinu yao ya maneno matupu wakati warussi walioko battle field wanakimbia kuokoa maisha yao.
 
Wanajeshi wa Urusi wanakimbia hovyo kama vile mbuzi wasiokua na mchungaji nyikani! Wameacha rundo la silaha! Kichapo wanachopata hta bastola wanaiona kama vile jiwe la tani1 ni kukimbia2 ndyo dawa wengne wamevua hadi nguo kwa kuziona zimeshakua nzito mwilini HIMAS na Chevellin cyo poa
Hata kama Mimi ningelala mbele cha kufia nini niache familia yangu iteseke kwa ajili ya upumbavu wa mjinga mmoja mbabe mpumbavu.
 
Unatubandikia kipicha kimening'inia tu halafu unataka tuamini ndiyo inahusiana na kilichopostiwa.Weka link tukajionee wenyewe kuwa hao uliopost ndiyo hao wa kwenye video,vinginevyo habari yako haina maana yoyote.
Tomaso
 
Back
Top Bottom