Hawana akiliEti field marshal (putin)kumbe mgambo tu, aliyedandia mtumbwi wa vibwengo!!wanakwambia eti hiyo ni mbinu ya kivita, amewaacha wajae tu, ili awamalize woteee!!!hahaaaaa
Waukize
Waulize walikaa hapo mpaka I kwa muda Gani kabla ya kuwa eliminated..hao ni wenzao walifanya pia huo ukapuku
View attachment 2354874
View attachment 2354875
Yaani unapanga mtengo "MWACHE AINGIE", unamuachia na zana zote za kivivta pamoja na majeruhi wako?????????????????????????????Eti field marshal (putin)kumbe mgambo tu, aliyedandia mtumbwi wa vibwengo!!wanakwambia eti hiyo ni mbinu ya kivita, amewaacha wajae tu, ili awamalize woteee!!!hahaaaaa
HakikaHawana akili
Mbinu ya kivita uache askari wafe? Russia kazidiwa, tukumbuke pia Ukraine aliharibu miundombinu mingi ya Russia. Ile supply chain sehemu nyingi zilishakatika, bado Kherson huko, tutasikia lolote lile.
Kuna kutofautikana kukubwa kati ya wizara ya ulinzi na PutinYaani unapanga mtengo "MWACHE AINGIE", unamuachia na zana zote za kivivta pamoja na majeruhi wako?????????????????????????????
Vlad amepiga mbizi kwenye siafu daah! aibu gani hii?
Putin aksikia neno Himars lazima ajisaidie kwenye hotpot
Unatubandikia kipicha kimening'inia tu halafu unataka tuamini ndiyo inahusiana na kilichopostiwa.Weka link tukajionee wenyewe kuwa hao uliopost ndiyo hao wa kwenye video,vinginevyo habari yako haina maana yoyote.Waukize
Waulize walikaa hapo mpaka I kwa muda Gani kabla ya kuwa eliminated..hao ni wenzao walifanya pia huo ukapuku
View attachment 2354874
View attachment 2354875
Kwa mujibu wa Ma Field Marshals wa JF pro putin hiyo ndiyo mbinu yao ya maneno matupu wakati warussi walioko battle field wanakimbia kuokoa maisha yao.Eti field marshal (putin)kumbe mgambo tu, aliyedandia mtumbwi wa vibwengo!!wanakwambia eti hiyo ni mbinu ya kivita, amewaacha wajae tu, ili awamalize woteee!!!hahaaaaa
Hata kama Mimi ningelala mbele cha kufia nini niache familia yangu iteseke kwa ajili ya upumbavu wa mjinga mmoja mbabe mpumbavu.Wanajeshi wa Urusi wanakimbia hovyo kama vile mbuzi wasiokua na mchungaji nyikani! Wameacha rundo la silaha! Kichapo wanachopata hta bastola wanaiona kama vile jiwe la tani1 ni kukimbia2 ndyo dawa wengne wamevua hadi nguo kwa kuziona zimeshakua nzito mwilini HIMAS na Chevellin cyo poa
TomasoUnatubandikia kipicha kimening'inia tu halafu unataka tuamini ndiyo inahusiana na kilichopostiwa.Weka link tukajionee wenyewe kuwa hao uliopost ndiyo hao wa kwenye video,vinginevyo habari yako haina maana yoyote.