Poleni sana hivi nyie hamjasikia, US China, Uzbekistan, Egypt, Serbia, India na nchi zingine wanawambia raia zao waondoke Ukraine haraka unadhani kwanini?
Kunakipigo kitanzia Belarus yani Watlivamia Kyiv afu hao wanajeshi wa Ukraine, Mrusi anawacha wasonge mbele ili awamalize hi si kwamba Mrusi kaelemewa kama mnavyo dhani nyie Vita ni Tack tick tulia uone Ukraine atavyo malizwa.
Mimi sipendi kuona watu wanauliwa bila hatia lakini Ukraine wana Rais hana akili anatekeleza anacho ambiwa na US hatazami maslaha ya raia wa Ukraine.