Ukraine washambulia ofisi ya meya pandikizi wa Urusi

Likombora la cruise missile tena la gharama sana linashushwa na mbeba javelin, hivi vita nimejifunza mengi sana, Urusi hovyoo ha ha ha
Hakunaga kitu kama hicho..mwangalie huyo naye ametana kudungua drone na manpad
Your browser is not able to display this video.
 
Baada ya kuona airdefence systems hazifanyi Kazi dhidi ya drones polisi wa Kieve wakaamua kuchukua majukumu ya air defence system angalia kilichowakuta.
View attachment 2390285
Your browser is not able to display this video.
 
naamini wewe ndie huna akili hata kidogo
kama Nyerere angekuwa na akili hii basi Kagera ingekuwa Uganda
 
Umeandika comment ndefu lakini haina mantiki yoyote
 
Ujue tu kwamba Ukrain wanapigana kama magaidi...so wenyewe wanachojua ni kufyatua makombora bila kujua yanatua wapi

Umkute mtu kwenye nchi yake uanze kulialia eti anapigana kama magaidi...wavaa makobaz mnalo kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…