ngajapo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2012
- 1,782
- 3,525
Wana JF tumekuwa wachangiaji wazuri sana wa mijadala juu ya vita inayoendelea huko ulaya kati ya mafahari watatu yaani Urusi, NATO na Ukraine.. mpaka tumefikia hatua tunabishana as if ni simba na yanga... yaani hata timu iwe mbovu hatuachi kuunda sentensi zenye propaganda nyingi ili mradi tu upande wako uonekane uko vizuri lkn mwisho wa siku utajua ubovu wake pale anapokuwa kafungwa na mpinzani wake..
vivyohivyo kwa vita vya Urusi na Ukraine kila upande unajimwambfy kuwa wako bora sana huku upande mmoja ukisaidiwa na propaganda za kiwango cha juu kutoka vyombo vikubwa kabisa vya habari duniani..
lakini ukijaribu kuangalia kwa jicho la tatu unaona kabisa ardhi ya Ukraine inazidi kumezwa na jeshi la urusi. ukiangalia ramani hapo chini according to Al Jazeera unaona kabisa miji ya kherson, Moriopul, Donetsk, Luhansik ukiachilia mbali krimea ni kwamba yote iko chini ya Russia.. na kadri muda unavyokwenda msitari Mwekundu unazidi kusogea ndani..
ilani yangu; naomba, chondechonde wamarekani weusi(tuliomo humu JF) wazee wa NATO tuwe wakweli katika kumshauri raisi wa Ukraine afanye mazungzo yenye afya ya kusitisha mapigano na Urusi bila hivyo Ukraine inazidi kumeguka kama sio kuisha kabisa..