Ukraine yadai kuwaua wanajeshi 15,000 wa Urusi

Ukraine yadai kuwaua wanajeshi 15,000 wa Urusi

Mchina weka biashara mezani mtaelewana, habari ya vita Hana time nazo.
Urusi ambaye kazidiwa hajatumia silaha yoyote ya kisasa zaidi ya Hypersonic, na yenyewe hajaitumia kumpiga ukraine bali kalipua tu msaada wa silaha mpakani.

Anatumia tech za miaka 30 iliopita, thats show hawapo serious ni kama tu mzazi anampiga mwanawe, akitia mtu pua pale ndio utaona tech za kisasa.
 
WaBelarus wanafanya nini Ukraine? Unafikiri wameenda kutalii?? La hasha bali wameenda kumsaidia baba yao baada ya maji kuzidi unga. Lakin bado haijasaidi na Sasa unahitajika msaada wa mchina lakin mchina naye kachomoa.
NAto +USA wapo ukrain na wanapigika.
 
NAto +USA wapo ukrain na wanapigika.
[emoji38][emoji38][emoji38] mbona hamueleweki nyie warusi wa ikwiriri, nyie si ndo mnasema NATO ni waoga wamemsaliti Zelensky, wakisogeza hata pua tu Putin ataishambulia Marekani!, Afu Leo Tena mnasema NATO wako Ukraine!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Urusi ambaye kazidiwa hajatumia silaha yoyote ya kisasa zaidi ya Hypersonic, na yenyewe hajaitumia kumpiga ukraine bali kalipua tu msaada wa silaha mpakani.

Anatumia tech za miaka 30 iliopita, thats show hawapo serious ni kama tu mzazi anampiga mwanawe, akitia mtu pua pale ndio utaona tech za kisasa.
Walichobakiza ni nuclear tu, saiz wanajiuliza watumie nuclear au watafute mlango wa kutokea kwa aibu.
 
Walichobakiza ni nuclear tu, saiz wanajiuliza watumie nuclear au watafute mlango wa kutokea kwa aibu.
Hivi zile s400 zishatumika kweli ? Au unaposema kabakiza nuclear una maanisha nini?
 
Hvi je kuna uwezekano mmarekani kaingiza wanajeshi Ukraine kimya kimya?+
 
Walichobakiza ni nuclear tu, saiz wanajiuliza watumie nuclear au watafute mlango wa kutokea kwa aibu.
Shughuli imekua nzito! Masanja mkandamizaji ameamua kukaza mpaka kieleweke
 
Hivi zile s400 zishatumika kweli ? Au unaposema kabakiza nuclear una maanisha nini?
Ngoja nikusaidie Kitu Mdogo wangu.

S-400 ni Air Defense System( Mifumo ya Ulinzi wa Anga). Sasa jiulize,Ndege zinazoruka kwenye Anga la Ukraine ni ndege za Urusi,Sasa unataka Urusi atumie S-400 Kutungua ndege zake mwenyewe kwenye Anga la Ukraine?

Japo baada ya Drones za Uturuki Kuingia nchini Ukraine,Ukraine ilianza kuzitumia kufatua Makombora kwenye Vifaru vya Urusi. Urusi alipeleka Mifumo ya Ulinzi( Sijui Kama na S-400 au S-300) kushambulia Drones za Ukraine alizonunua kutoka Uturuki ili Kulinda Usalama wa Vifaru.

Kama Urusi yenyewe imetumia HYPERSONIC MISSILES ndani ya Ukraine,Basi naamini kabisa mpaka Sasa Urusi alichobakiza kutumia nchini Ukraine ni Vifaru Aina ya Armata T-34,CHEMICAL WEAPONS na NUCLEAR MISSILES . Mpaka Mwisho wa Vita hata ikitokea Kabisa Urusi imeshindwa kuiteka Ukraine haiwezi kutumia NUCLEAR MISSILES Lakini Kuna wasiwasi wa Urusi kutumia CHEMICAL WEAPONS.
 
Back
Top Bottom