Ukraine yafanikiwa kutengeneza kombora la masafa marefu, Ukipitia magumu akili inatanuka:

Ukraine yafanikiwa kutengeneza kombora la masafa marefu, Ukipitia magumu akili inatanuka:

Huna ujualo!

Hii vita West wanaenda nayo hatua kwa hatua!

Mwanzo walikuwa wanamwambia Ukrain wasirushe mabomu wala kiishambulia ndani ya Urusi, Ila juzi hapa umeona West wakimwambia Ukrain ruksa kushambulia ndani ya Rusia. Matokeo yake tukaona mkoa wa Urusi ukiangukia mkononi mwa Ukrain.

Sasa hivi hatua inayofuata ni kupatia Ukrain makombora ya masafa marefu akiwemo hayo ya balastik, na jana tu waziri wa ulinzi wa Urusi amelalama kwamba NATO wanacheza na moto kwa kuwapa Ukrain hayo makombora maana anajua yataanza kutua Moscow moja kwa moja.

Putin atapukuchuliwa taratibu hata kama ni kwa miaka 10 mpaka anaisha.

Ukijua hili wenzio wanajua lile.
Wewe ndio huna ujualo wenye akili wameshapanga mikakati Dola inaanguka muda siyo mrefu. Palestina anakua mwanachama rasmi wa BRICS. Haya mambo yanaenda kwa mahesabu.
 
Ndivyo mnavyojidanganya!??
Huko Kursk Ukraine anazidi kupoteza askari.
Na mind you kuna silaha Russia bado hajazitumia,kama Ukraine ajiroge kushambulia ndani ya Moscow tutapata misiba isiyo na idadi ndani ya Kiev.
 
Huyo anaamini Putin ana uwezo kumbe ashalegezwa si muda atakimbia ama apinduliwe
Russia sio Libya kijana.
Huwezi ukampindua Putin kama unavyoropoka hapa.
Hao hao NATO walishiriki kwenye kuisaidia Ukraine isipokonywe Crimea,ila Crimea ishaangukia mikononi mwa Russia hadi sasa.
Russia sio taifa jepesi hata kidocho.
 
Wewe ndio huna ujualo wenye akili wameshapanga mikakati Dola inaanguka muda siyo mrefu. Palestina anakua mwanachama rasmi wa BRICS. Haya mambo yanaenda kwa mahesabu.
1 US$ = Tshs. 2,717
1 US$ = Irani Rial 42,000
1 US$ = 91.50 Russian Ruble
Halafu unasema dola inaanguka..!! Utakuwa na mtindio wa ubongo sio bure.
 
Ukraine Yasema Imejaribu Kombora Jipya la Ndani

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, amesema kuwa nchi yake imefanikiwa kufanya jaribio la kwanza la kombora jipya lililotengenezwa ndani ya nchi. Ukraine inajulikana kuwa na angalau kombora moja la masafa mafupi, Hrim-2, ambalo lipo katika hatua ya maendeleo, kama ilivyochunguzwa kwa kina na jarida la The War Zone.

Soma Pia: Ukraine waanza kutengeneza silaha za masafa marefu

==============​

Ukraine Says It Has Tested A New Domestically-Designed Ballistic Missile.​

Ukrainian President Volodymyr Zelensky says that his country has conducted the first successful test of a new domestically-developed ballistic missile. Ukraine is known to have at least one short-range ballistic missile (SRBM), the Hrim-2, in some stage of development, as The War Zone previously explored in detail. Such a weapon would give Ukraine’s armed forces a highly valuable new stand-off strike option unlike any other in its inventory. It would also not be subject to any foreign restrictions on its use, as it continues to be the case with many longer-ranged weapons supplied by the United States and other Western partners.

SOURCE:YAHOO LATEST INTERNATIONAL TOP NEWS
Ukraine anapambana Sana kujilinda
 
Wazungu bana, sisi bado tunahangaika na kutekana kwanza.
Nina wasiwasi hawa wazungu wana mahusiano ya siri na viumbe walio nje ya dunia vinavyowapa madini na maarifa mbalimbali nyeti. Sitaki kuamini kwamba waafrika ni wajinga kiasi hicho.
 
Back
Top Bottom