Ukraine yafanikiwa kutengeneza kombora la masafa marefu, Ukipitia magumu akili inatanuka:

Wewe ndio huna ujualo wenye akili wameshapanga mikakati Dola inaanguka muda siyo mrefu. Palestina anakua mwanachama rasmi wa BRICS. Haya mambo yanaenda kwa mahesabu.
 
Ndivyo mnavyojidanganya!??
Huko Kursk Ukraine anazidi kupoteza askari.
Na mind you kuna silaha Russia bado hajazitumia,kama Ukraine ajiroge kushambulia ndani ya Moscow tutapata misiba isiyo na idadi ndani ya Kiev.
 
Huyo anaamini Putin ana uwezo kumbe ashalegezwa si muda atakimbia ama apinduliwe
Russia sio Libya kijana.
Huwezi ukampindua Putin kama unavyoropoka hapa.
Hao hao NATO walishiriki kwenye kuisaidia Ukraine isipokonywe Crimea,ila Crimea ishaangukia mikononi mwa Russia hadi sasa.
Russia sio taifa jepesi hata kidocho.
 
Wewe ndio huna ujualo wenye akili wameshapanga mikakati Dola inaanguka muda siyo mrefu. Palestina anakua mwanachama rasmi wa BRICS. Haya mambo yanaenda kwa mahesabu.
1 US$ = Tshs. 2,717
1 US$ = Irani Rial 42,000
1 US$ = 91.50 Russian Ruble
Halafu unasema dola inaanguka..!! Utakuwa na mtindio wa ubongo sio bure.
 
Ukraine anapambana Sana kujilinda
 
Wazungu bana, sisi bado tunahangaika na kutekana kwanza.
Nina wasiwasi hawa wazungu wana mahusiano ya siri na viumbe walio nje ya dunia vinavyowapa madini na maarifa mbalimbali nyeti. Sitaki kuamini kwamba waafrika ni wajinga kiasi hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…