startergear
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 1,148
- 1,478
Brother Mimi na wewe tumekaririshwa hivyo tangu zamani, lakini sijawahi kusoma popote kuwa Kuna dola la Russia lilishakuwa tishio enzi fulaniWanajifariji tu ila wanajua kuwa WARUSI ni moto wa kuotea mbali.Nchi imekuwa vipande vipande,alafu anakuja chizi mmoja anasema URUSI hamna kitu
Kila nikifungua makablasha ya history nakutana na ottoman , Mongolia, gule gudola gwa kiislamu , Romans etc. Hiyo Russia mwenzetu uliisoma wapi kuwa ilikuwa dola tishio ulimwenguni au ni tishio leo?