Brother Mimi na wewe tumekaririshwa hivyo tangu zamani, lakini sijawahi kusoma popote kuwa Kuna dola la Russia lilishakuwa tishio enzi fulani
Kila nikifungua makablasha ya history nakutana na ottoman , Mongolia, gule gudola gwa kiislamu , Romans etc. Hiyo Russia mwenzetu uliisoma wapi kuwa ilikuwa dola tishio ulimwenguni au ni tishio leo?
Putin ametengeneza maadui wengi ndani ya nchi yake, ,kimsingi kushindwa kwa Putin kutatokana na wananchi wake kutomuunga mkono. Ameua matajiri wengi nchini mwake ambao anadhani watamuunga mkono Ukraine