Ukraine yaitishia USA: Yasema isipopewa makombora ya masafa marefu "itaibwatukia na kuisemea mbovu mbovu kwa kiwango ambacho kitakuwa cha mfano”

Joe Biden jana katangaza kupeleka mzigo wa maana Ukraine- stay tuned!
Tatizo ame declare kuwa silaha alizompa Ukraine ni za kupiga adui ndani ya Ukraine tu, sio ndani ya Russia. Nilichoona mimi kwenye huu mgogoro wa Vita ya Ukraine na Urusi ni wakubwa kujaribisha silaha zao.
 
Sisi tunasubiri hilo BWATUKO
 
Lengo la vikwazo ilikuwa ni kuilazimisha Urusi isitishe uvamizi!! Hilo lengo halikufanikiwa!!
Nashangaa sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Nakuja watu wanasema urusi ni nchi masikini, nchi masikini imepigwa sanctions but still Wana endelea kutoa kichapo huku nchi tajiri zikiogopa kuivamia nchi masikini
 
Basi ndo ujue kama ni silaha.. Urusi ndo anaongoza kuwa na mabomu ya nyuklia mengi kuliko nchi yoyote duniani..ikiwamo na hiyo marekani yako. Kama hutaki kajinyonge
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…