Ukraine yaitishia USA: Yasema isipopewa makombora ya masafa marefu "itaibwatukia na kuisemea mbovu mbovu kwa kiwango ambacho kitakuwa cha mfano”

Ukraine yaitishia USA: Yasema isipopewa makombora ya masafa marefu "itaibwatukia na kuisemea mbovu mbovu kwa kiwango ambacho kitakuwa cha mfano”

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Nilishawahi kusema kuwa mwisho wa siku Zelensky na Ukraine yake watajakuwa maadui wakubwa sana wa Marekani na NATO kwa ujumla.

Kisa ni kwamba haiwezekani kuipatia Ukraine kila inachokitaka bila kuangalia athari yake kwa usalama wa dunia! Kwa mfano Zelensky alikuwa anataka NATO waweke NO FLY ZONE nchini ukraine. Kwa maana ya kwamba NATO wawe tayari kulilinda anga la ukraine dhidi ya ndege za kivita za urusi!!

Urusi ikasema huo ni mstari mwekundu!! Ukiamua kuuvuka ujiandae vizuri maana LAZIMA kipigo lipizi kifuatie!! Na Marekani haiko tayari kuhatarisha maisha ya watu wake hata mmoja!! Mara 100m ukraine wote waangamie kuliko mmarekani mmoja auawe! kwa hiyi NATO walisema HAPANA kwa ombi la no fly zone!!

Ombi lingine la ukraine kwa Marekani ni kupatiwa vifaa vizito vinavyoweza kurusha makombora ya masafa marefu hadi ndani kabisa ya urusi!! Na Marekani walikuwa wamekubali kupeleka makombora hayo, lakini Urusi ikasema HUO NAO NI MSTARI MWEKUNDU!!

Ukipeleka makombora ya masafa marefu ukraine utakuwa umeuvuka mstari mwekundu wa urusi kinachofuatia hapo siyo majadiliano ila KIPIGO!! Kuona hivyo ghafla Marekani ikabadili gia angani na kusema haitapeleka makombora ya masafa marefu ukraine.

Hasira za Ukraine zikaanzia hapo, Zelensky akamtuma msaidizi wake apeleke salamu kwa marekani kwamba "isipopewa makombora hayo ya masafa marefu ITAIBWATUKIA Marekani kwa BWATUKO la mfano!!

Bwatuko hilo ni mithili ya mtu aliyechanganyikiwa au mtoto aliyedekezwa siku wazazi wakamnyima kitu anachokitaka, waingereza huliita bwatuko hilo kama "exemplary tantrum"

Maana ya tantrum kwa mujibu wa kamusi: Tantrum definition, a violent demonstration of rage or frustration; a sudden burst of ill temper.

Zelensky aide pressures US
Presidential aide Alexey Arestovich has threatened Washington with an ‘exemplary tantrum’ over non-supply of rocket artillery systems
Zelensky aide pressures US.

Kiev will resort to hysterical outbursts, if the US fails to deliver multiple rocket launchers to fight Russia, an aide to President Volodymyr Zelensky said on Monday. Alexey Arestovich was responding to remarks by US President Joe Biden, who said the US won’t send to Ukraine long-range rockets that can hit Russia.

Washington is reportedly on the brink of stepping up the arming of Ukraine with heavier weapons. Arestovich, a key figure in Ukraine’s messaging on military affairs, outlined Kiev’s response to a scenario, in which the weapons are not delivered as expected.

Swali la kujiuliza ni je Marekani itaitikiaje BWATUKIO la Ukraine ukizingatia kuwa Marekani imeibeba sana Ukraine kifedha na kisilaha na mafunzo toka 2014 hadi sasa. Halafu shukrani yake iwe ni bwatukio la mfano!! Kusema ukweli bila Marekani kuibeba ukraine kwa fedha, silaha na kidiplomasia hivi vita vingeshaisha siku nyingi!! Mwisho wa siku Marekani na Ukraine watahasimiana sana!!

Marekani itaiona Ukraine kuwa haina shukrani na haina adabu. Kwanza kitendo cha kutishia kuibwatukia Marekani ni kwamba tayari imeshaibwatukia! Lakini kwa upande mwingine, Ukraine itaiona Marekani kuwa imewaingiza mkenge kuwasukumizia kwenye mdomo wa Urusi almaarufu kama DUBU MWEKUNDU/RD BEAR!! Ukraine ilirubuniwa na Marekani kuivimbia Urusi na ikatae kutekeleza makubaliano ya amani ya Minsky!

Ukraine ilipewa kiburi kuwa itaingizwa fasta NATO kwa hiyo Urusi haitothubutu kuigusa!! Kwa hiyi ukraine ilipotakiwa na Urusi kuachana na mipango ya kujiunga NATO iligoma!! Ikijua kwamba Urusi ikijaribu kushambulia NATO itaingilia kati.

Pia Ukraine iliahidiwa kujiunga EU fasta. Mambo yote mawili hayakutimia!! Haikujiunga NATO wala EU na huo uwezekano HAUPO katika siku za karibuni!! Yawezekana kuna uongo mwingine aliodanganywa ukraine na haujajulikana bado kwa hiyo Ukraine anatishia atauweka wazi, hiyo inaitwa BLACKMAIL!! Kama ni hivyo Marekani ana wakati mgumu sana!! Ngoja tuone itakavyokuwa!!

Kwenye uwanja wa mapambano ndo hivyo tena hata sarakasi za comedy kwa Zelensky zimeishia, ni kilio muda wote!! Kipigo cha mrusi huko DONBAS siyo cha kitoto!!
 
Tatizo Zelensky ana akili za chini sana na si mwanasiasa na si mtawala mzuri.Marekani imejiuliza kidogo maswali kabla kukubali kupeleka silaha.Zelensky yeye analaumu tu kutokupewa atakacho kumbe wala si mwanachama wa NATO.Ni mfano wa kumwambia mwanamke ni mzuri hata kama ni mbaya.Kwa maneno hayo basi inakuwa ushamuharibu akili.Kwa kuahidiwa pekee pindi akiichokoza Urusi atapewa uwanachama wa NATO basi akajifanya ndiyo Nato mkereketwa kuliko hao Nato wa muda mrefu. Akili mbaya..
 
Haitakua mara ya kwanza kwa Ukraine kutumika kama scapegoat kwenye masilahi ya USA. Yamewahi kumkuta Osama chini ya kikundi chake cha mujahedeen, walipewa silaha na pesa kupigana na urusi kwa muda mrefu sana. Baada ya vita Osama aligeuka adui mkubwa sana wa US na the rest is history.
Vivyo hivyo kwa sadam Hussein...
 
Mji mmoja mkubwa uliokuwa umebaki kwenye huko DONBAS mashariki mwa Ukraine na wenyewe unaishia kwa kasi mikononi mwa Urusi!! Jana uruisi ilikuwa imeshamega theluthi moja ya mji na mapigano makali ya mitaani yalikuwa yanaendelea. Leo tayari urusi imeshatawala tayari nusu ya mji wa Severodonetst. Hapo ndani ya siku kadhaa au wiki kadhaa DONBASS yote itakuwa imeshashikwa! Kumbuka malengo ya Urusi wakati inavamia yalikuwa matatu:
1. Denazification of Ukraine: Hili kwa kiasi kikubwa limeshatimia maana kikosi pekee cha askari wenye mlengo wa kinazi ni wale waliokuwa wanalinda mji muhimu sana wa Mariupol wenye bandari na kiwanda kikubwa cha chuma huko ulaya. Hawa askari tayari wengi waliuawa na wengine 2,500 walisalimu amri na wanasubiri mashitaka!
2. Kukomboa majimbo mawili yaliyoko ukraine mashariki yaani. Hii imeshatimia kwa asilimia 95%, Mji mkubwa uliokuwa umebakia ndio huo ambao nusu yake tayari umeshakaliwa na urusi. Inatarajiwa baada ya sikun kadhaa au wiki kadhaa tayari ukombozi kamili wa majimbo hayo utakamilika.
3. Demilitarization of UKraine: Yaani kuharibu na kuinyang'anya silaha ukraine zilizokuwa zinatishia usalama wa majimbo mawili ya Donbass aliyokuwa yamejitangazia uhuru!! Yalikataa mipango ya ukraine kujiunga EU na kuiten ga urusi. Hili lengo lilishakamilika ila NATO wanaendelea kuwamiminia silaha Ukraine!! Hili lengo la tatu ndilo litakalofanya vita ichukue muda mrefu na kuongeza sana madhara kwa Ukraine!! Lakini inavyoelekea hili nalo litafikia mwisho na NATO wataacha kupeleka silaha ukraine watakapoona hakuna tena tija ya kufanya hivyo.

Severodonetsk mayor says Russian forces seized half of city​

Russian forces have seized half of the eastern city of Severodonetsk, its mayor has said.

“The city is essentially being destroyed ruthlessly block by block,” Oleksandr Striuk told The Associated Press.

He said heavy street fighting continues and artillery bombardments threaten the lives of the estimated 13,000 civilians still sheltering in the ruined city that once was home to more than 100,000.

Evacuation efforts have been halted because of shelling. “There are food supplies for several more days, but the issue is how to distribute them,” he added.
 
Putin akili mingi alishajipanga miaka mingi wamemuwekea vikwazo lakin anajinasua Ruble pesa ya Russia inazidi kupanda thaman baada ya kuweka masharti kuwa mafuta ni lazima yanunuliwe kwa pesa ya Russia tu huku kwa zelensky meli ikiendelea kuzama
 
Vita hii imeidhalilisha sana USA.
USA ilikua inakuzwa sana.
NATO ni genge la nchi dhaifu kuonea chi dhaifu..
Niliwahi kuwambia humu tokea day Iran aliposhambulia zile kambi za NATO kule Iraq kwa Ballistics Missiles alaf Ayatollah akawambia hicho ni kikofi tu jamaa wakakaa kimya na majeshi ya nchi mbali mbali kuhamishiwa kambi kupelekwa kuweit na nchi nyengine half hawakujibu ile ni bonge la picture kwamba wako dhaifu sana wanapokutana na nchi tata
 
Back
Top Bottom