Ukraine yapiga chini drones 39 zilizotumwa na Urusi kwa mkupuo, Warusi wang'aka

Juzi kweny hotuba yake ya kufungia mwaka alisema RUSSIA haiwezi jisalimisha kwa mataifa ya magharibi amesema mataifa hayo yanampango wa kuiharibu Russia kupitia Ukraine...nikacheka mana ukiona mkubwa analia ujue kuna jambo..
Asingeanzisha vita hayo matamko yasingekuwepo
 
Juzi kweny hotuba yake ya kufungia mwaka alisema RUSSIA haiwezi jisalimisha kwa mataifa ya magharibi amesema mataifa hayo yanampango wa kuiharibu Russia kupitia Ukraine...nikacheka mana ukiona mkubwa analia ujue kuna jambo..
Jamaa amekuwa kama kuku aliyekatwa kichwa [emoji28]
Anabwabwaja tu

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
last week russia walipiga mizinga wakiwa kherson upande wa pil wa mto wakasau kuondoka mapema ndani ya dk 20 wakafanywa hakuna askar zaid ya 30 wa russia wakafanyiwa kitu cha Kimbari
IMG_2058.jpg

tunakupiga tunakuonesha na ushahidi
tuna waacha wenyewe mchambue
tunaendelea na kazi
IMG_2059.jpg
 
Kwa hiyo hamuwezi kudhibitisha madai yenu?acheni uongo yaani Askari Mia nne warudikwe sehemu moja? Russia ndo anataarifa sahihi sio mwingine.nyie mmejuaje ni Askari Mia nne sasa?
Nahisi ndani ya jeshi la kuna.5th column..
.sio bure
 
last week russia walipiga mizinga wakiwa kherson upande wa pil wa mto wakasau kuondoka mapema ndani ya dk 20 wakafanywa hakuna askar zaid ya 30 wa russia wakafanyiwa kitu cha Kimbari
View attachment 2468004
tunakupiga tunakuonesha na ushahidi
tuna waacha wenyewe mchambue
tunaendelea na kazi View attachment 2468006
Aisee warusi wanaisha hawa, hawatawahi vamia nchi za watu kipumbavu.
 
Jaribu kuangalia kwa umakini picha ya kwanza na us pili-hazina tofauti yoyote hisipo kuwa ya pili ni digitaly manipulated angalia maiti iliyo funikwa na sanda nyeupe bado hipo pale pale MA maiti zingine zipo pale pale hisipokuwa hawa wajanja wameongezea background artificial ili kuonyesha ni picha mbili tofauti -kumbe ni uongo tu!! Wanachezea watu akili.
 
Kwani wapi umeambiwa ni picha mbili tofauti?
 
Mungu, Ikiwa we ni Mungu wa haki kweli na Ukraine ikashindwa katika hii vita dhuruma basi we si Mungu wa haki na kweli.
Mkuu usikurupuke kuandika kuhusu Mungu ikiwa
Hao unao waombea Mungu huenda hawana mpango nae kua makini katika kauli zako.
Na Dunia ya sasa ambayo Mungu imemuweka sehemu au chaguo la mwisho katika maamuzi na utendaji wao.

Pia unaweza ukawa mtu wa Mungu na ukapata mitihani na pia ukafeli katika hayo matatizo
Kumbuka Mungu apangiwi katika utendaji wake,
Tambua pia Dua ni maombi hivyo kwenye maombi unajua kuna majibu ya aina ngapi

Thanks.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
last week russia walipiga mizinga wakiwa kherson upande wa pil wa mto wakasau kuondoka mapema ndani ya dk 20 wakafanywa hakuna askar zaid ya 30 wa russia wakafanyiwa kitu cha Kimbari
View attachment 2468004
tunakupiga tunakuonesha na ushahidi
tuna waacha wenyewe mchambue
tunaendelea na kazi View attachment 2468006
Hivi kweli huwa siri ya utawala huwa inakuwaje na ni kwa nini inakuwa ngumu kuasi? Yaani mtu mmoja tu anasababisha watu wengi hivi kufariki pasipo na sababu yoyote?
 
Jaribu kuangalia kwa umakini picha ya kwanza na us pili-hazina tofauti yoyote hisipo kuwa ya pili ni digitaly manipulated angalia maiti iliyo funikwa na sanda nyeupe bado hipo pale pale MA maiti zingine zipo pale pale hisipokuwa hawa wajanja wameongezea background artificial ili kuonyesha ni picha mbili tofauti -kumbe ni uongo tu!! Wanachezea watu akili.

ya pili wameifanyia digital manipulation ili ionekane vizur maana original inatakataka. hata source nlio toa hizo picha. wamecomment hivo. ili kuwasaidia wasioona vizur hizo maiti. za waja wa Putin.

asnt kwa uchambuz
 
Back
Top Bottom