Ukraine yaruhusu matumizi ya Cryptocurrency

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ameruhusu matumizi ya Cryptocurrency baada ya benki za nchi hiyo kushindwa kufanya kazi vizuri kutokana na mzozo unaoendelea nchini humo.

Waziri wa Maendeleo ya Digitali amesema cryptocurrency zitatumika kisheria hadi kwenye benki.

===
Kiev legalizes cryptocurrency in search for new income sources

Ukrainian President Zelensky signed a Virtual Assets bill, effectively legalizing the cryptocurrency market in the country under the supervision of the National Commission on Securities and Stock Market.

"From now on foreign and Ukrainian cryptocurrencies exchanges will operate legally and banks will open accounts for crypto companies," Ukraine's Ministry of Digital Transformation tweeted on Wednesday.

As many of the country’s banking institutions are crippled by ongoing hostilities with Russia, cryptocurrency has been seen as one of the solutions.

Kiev has reportedly received almost $100 million in donations since the start of the conflict on Feb. 24.

Subscribe to RT t.me/rtnews
 
Vita sio kitu kizuri kwa mstakabali wa maendeleo ya nchi, tusiombee vita wala kuishabikia kwani wanaokwenda vitani sio wanaoiazisha,na wanaoumia mara nyingi ni raia wasio kuwa na hatia...
 
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ameruhusu matumizi ya Cryptocurrency baada ya benki za nchi hiyo kushindwa kufanya kazi vizuri kutokana na mzozo unaoendelea nchini humo.

Waziri wa Maendeleo ya Digitali amesema cryptocurrency zitatumika kisheria hadi kwenye benki.
===
Kiev legalizes cryptocurrency in search for new income sources

Ukrainian President Zelensky signed a Virtual Assets bill, effectively legalizing the cryptocurrency market in the country under the supervision of the National Commission on Securities and Stock Market.

"From now on foreign and Ukrainian cryptocurrencies exchanges will operate legally and banks will open accounts for crypto companies," Ukraine's Ministry of Digital Transformation tweeted on Wednesday.

As many of the country’s banking institutions are crippled by ongoing hostilities with Russia, cryptocurrency has been seen as one of the solutions.

Kiev has reportedly received almost $100 million in donations since the start of the conflict on Feb. 24.

Subscribe to RT t.me/rtnews
ina maana hela yao imefifia... afu m nkisikia mabomu nawazia uhai sio cryptocurrency ... uchizi huu
 
Tatzo lako unawazia makalio. Nchi imevamiwa lazima raise aoneshe uzalendo wa kuipigania nchi yake. Hivi mwanaume mwenzako akivamia nyumban kwa kwa sababu ana nguvu unasarenda kiboya tu anatawala kwako hata kama ana nguvu. Au nyie ndo wanaumme ukiwa na mke wako jamaa anakotea mwenye nguvu anachukua mke wako kwa sababu tu ana nguvu?
Nimejaribu junyamaza lakini nimeshindwa ...raisi wa uktaini ni mpumbavu maana anajua vizuri mikayaba ya ulinzi ya kimayaifa anachochewa na marekani aivunje hiyo mikataba kwa kisingizio cha nchi huru...wakati japani yenyewe ina mikataba ya ulinzi na marekani tena mibaya kuliko ya ukreini na urusi. Kwa ufupi raisi wa ukraini ni mpumbavu kabisa
 
Back
Top Bottom