Ukraine yarusha makombora ya Uingereza kushambulia ndani ya Urusi kwa mara ya kwanza

kwani NATO anapigana na Russia mkuu
NATO anapigana na Russia nyuma ya pazia. Ukraine ndo katangulizwa ili aonekane ni yeye lakini in the real sense vita ni baina ya hao mafahali wawili.
 
Kazi ya makombora ni kulipuka, sasa kuna haja gani kuyaunda masafiiii very presentable namna hiyo utasema ni kitu flan cha maana sanaa!?????
Yangefanywa tu ni ma vyuma vyuma ingepunguza ufanisa au??
Yanafanywa hivyo ili yawe "stealth" kwa kiwango fulani.

Kuwa "stealth" kwa Tanzania ni kama kuwa 'mwanga" anayekuwangia usiku, humuoni.
 
So, Russia can illegally invade a sovereign democratic European country, murder 1000s of Ukrainian civilians, then rope in North Korean soldiers to help them wage war, and the West’s correct response should be to.. checks notes … give Putin what he’s stolen?
Do f*ck off.
 
The Russian media are in panic over Storm Shadow missiles.

It can hit them wherever and whenever.
 
Huyu Joti wa Ukraine anaingizwa mkenge,
Asubiri sasa majibu ya Putin hapo hapo.
 
So, Russia can illegally invade a sovereign democratic European country, murder 1000s of Ukrainian civilians, then rope in North Korean soldiers to help them wage war, and the West’s correct response should be to.. checks notes … give Putin what he’s stolen?
Do f*ck off.
Basi mwenyewe hapo unajiona umeongea bonge la point na kingereza chako cha kwenye kamusi!

US ndio nchi inayovamia nchi nyingi zaidi na kuua watu wengi zaidi wasio na hatia,

Ila kwavile wewe ni miongoni mwa wale walioshikiwa akili,huwezi kuliona hilo,acha akili yako iwe free kwanza kisha ndio uanze kujadili vitu vya maana.
 
Mimi nimeongelea Russians the killers, na wewe tafuta chaka lako ukawasema kiboko yenu magaidi.
 
Back
Top Bottom