Ukraine yasema imeizamisha Submarine ya Urusi Crime

Ukraine yasema imeizamisha Submarine ya Urusi Crime

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
Ukraine imethibitisha kuzamisha Submarine ya Russia itwayo The Rostov-on-Don ilyokuwa huko Crimean Peninsula, shambulio hilo pia limehusisha kuharibu mifumo 4 ya ulinzi ya S-400 iliyopo Cremea.
Screenshot_20240804-014417.png
Screenshot_20240804-014427.png
 
Hujaona kuwa hiyo ni habari ya BBC ya tarehe 3 August 2024?
Bbc ni mouth piece za mashoga ni shirika la kijinga sana...Angalia wanayosema kuhusu gaza na kwingineko!!!! Mashetani wale wale.

Kule israel na hata London kunaa mandamano hawasemi kabisa ila wanasema Submarine imezama sasa kama imezama hao ukraine si wateke hilo eneo???

Maana vitani ukipiga adui unakalia hilo eneo sasa mm nashangaa ukraine inaipiga Urusi halafu bado eneo linachukuliwa na anaepigwa!!!
 
ni kweli bana.......na hii ni mara ya pili inapigwa ......ila ya sasa naona wamepiga kwenye mshono .......ile ikipona putin aondoke crimea akikaza fuvu ..........ajue siku zake ziko njiani
 
Bbc ni mouth piece za mashoga ni shirika la kijinga sana...Angalia wanayosema kuhusu gaza na kwingineko!!!! Mashetani wale wale.

Kule israel na hata London kunaa mandamano hawasemi kabisa ila wanasema Submarine imezama sasa kama imezama hao ukraine si wateke hilo eneo???

Maana vitani ukipiga adui unakali hilo eneo sasa mm nashangaa ukraine inaipiga Urusi halafu bado eneo linachukuliwa na anaepigwa!!!
Mashoga!!!

Mbona mnamshambulia mletag habari wakati vyimbo vyote ambavyo huwa mnatoa habari zenu navyo vime report habari hii?
Mngetafuta namna ya kumpinga lakini si hiyo mnayoitumia
Hawapendi kusikika habari hizo, ndo maana wanamshambulia mleta mada. Hicho chanzo kikileta habari zinazowafurahisha watakitumia kama rejea yao.
 
Back
Top Bottom