Kwa hiyo wewe unataka kusikia BBC ikitangaza kwamba gaidi Ismael Haniyeh hakufa na tayari amerejea Qatar ili ndio ufurahi. Bogus kabisa.Bbc ni mouth piece za mashoga ni shirika la kijinga sana...Angalia wanayosema kuhusu gaza na kwingineko!!!! Mashetani wale wale.
Kule israel na hata London kunaa mandamano hawasemi kabisa ila wanasema Submarine imezama sasa kama imezama hao ukraine si wateke hilo eneo???
Maana vitani ukipiga adui unakali hilo eneo sasa mm nashangaa ukraine inaipiga Urusi halafu bado eneo linachukuliwa na anaepigwa!!!