Ukraine yasema imeizamisha Submarine ya Urusi Crime

Hujaona kuwa hiyo ni habari ya BBC ya tarehe 3 August 2024?
Bbc ni mouth piece za mashoga ni shirika la kijinga sana...Angalia wanayosema kuhusu gaza na kwingineko!!!! Mashetani wale wale.

Kule israel na hata London kunaa mandamano hawasemi kabisa ila wanasema Submarine imezama sasa kama imezama hao ukraine si wateke hilo eneo???

Maana vitani ukipiga adui unakalia hilo eneo sasa mm nashangaa ukraine inaipiga Urusi halafu bado eneo linachukuliwa na anaepigwa!!!
 
ni kweli bana.......na hii ni mara ya pili inapigwa ......ila ya sasa naona wamepiga kwenye mshono .......ile ikipona putin aondoke crimea akikaza fuvu ..........ajue siku zake ziko njiani
 
Mashoga!!!

 
Mbona mnamshambulia mletag habari wakati vyimbo vyote ambavyo huwa mnatoa habari zenu navyo vime report habari hii?
Mngetafuta namna ya kumpinga lakini si hiyo mnayoitumia
Hawapendi kusikika habari hizo, ndo maana wanamshambulia mleta mada. Hicho chanzo kikileta habari zinazowafurahisha watakitumia kama rejea yao.
 
Doooh!
Hii wiki ngumu sana kwangu, huku Iran ananiaibisha, huku Russia ananitia aibu!
Kazi kwelikweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…