Ukraine yasema NATO ni dhaifu hawatajiunga nayo

Haka kajamaa ni kapumbavu sana na wale wanao kaona kashujaa nao ni wapumbavu kama kenyewe.

Tangu mwanzo hilo ndio lilikuwa takwa la Urusi kutaka hakikisho la Ukraine kuto jiunga na NATO lakini akaambulia kejeli ina maana angekubali tangu mapema hii vita isingekuwepo.

Leo ana taka kukubaliana na matakwa ya Urusi uku maelfu ya waukraine wamesha uawa miundo mbinu ya mabilion ya dora imesha haribiwa watu wame kimbia nchi yao wakati haya yote yalikuwa yanaepukika.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Sharti la pili ni la KUITAMBUA rasmi Crimea kuwa ni sehemu ya Urusi na sharti la tatu ni kuyatambua majimbo mawili yaliyojitenga kuwa ni mataifa huru.

Urusi ilisema hayo masharti ya msingi lazima yatekelezwe kwa kukubaliana kwenye mazungumzo au kwenye uwanja wa vita!!

Ukraine imeona Sasa mtu umezungukwa unategemea Nini mbele ya safari?
 
Single inch tenaaa
 
Naunga mkono maoni ya Raising NATO ni waoga na siyo dhaifu.
Mashaka yangu ni kwamba yaweza guswa nchi ndogo mwanachama wakaja kusema hatuwezi kuingilia kwa kuwa tutasababisha vita ya 3 ya dunia.
Inategemea unapigana na nan lazima usikilizie kwanza we enz za vandame ukitoka nje unamuona vandame anaruka sarakas huku anakatakata migomba ungetoka ???
 
Kuna vijamaa hapa ni vijasiri kwenye vita ya nchi nyingine ilhali majambazi yasiyo hata na bunduki yakiwavamia wanapotelea uvunguni mwa kitanda wakiacha familia.

Wazee wa kilimo cha matikiti
 
Sasa Ukraine ni member wa NATO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…