Ukraine yasema NATO ni dhaifu hawatajiunga nayo

Ukraine yasema NATO ni dhaifu hawatajiunga nayo

Amesema inawezakana wasijiunge ila hajasema hawatojiunga,.
Embu tutafsirie hapa

20220316_103915.jpg
 
Haka kajamaa ni kapumbavu sana na wale wanao kaona kashujaa nao ni wapumbavu kama kenyewe.

Tangu mwanzo hilo ndio lilikuwa takwa la Urusi kutaka hakikisho la Ukraine kuto jiunga na NATO lakini akaambulia kejeli ina maana angekubali tangu mapema hii vita isingekuwepo.

Leo ana taka kukubaliana na matakwa ya Urusi uku maelfu ya waukraine wamesha uawa miundo mbinu ya mabilion ya dora imesha haribiwa watu wame kimbia nchi yao wakati haya yote yalikuwa yanaepukika.
Screenshot_20220316-100213.jpg

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Sharti la pili ni la KUITAMBUA rasmi Crimea kuwa ni sehemu ya Urusi na sharti la tatu ni kuyatambua majimbo mawili yaliyojitenga kuwa ni mataifa huru.

Urusi ilisema hayo masharti ya msingi lazima yatekelezwe kwa kukubaliana kwenye mazungumzo au kwenye uwanja wa vita!!

Ukraine imeona Sasa mtu umezungukwa unategemea Nini mbele ya safari?
 
Ukisoma vizuri hiyo habari ya chini iliyoandikwa kwa lugha ya kingereza haja maanisha NATO kwamba ni dhaifu kwa maana ya dhaifu lakini aticle 5 ya NATO is not responding accordingly

Akimaanisha no single inch of NATO member will be touched without them to respond na hii ni kutokana na kituo cha kutolea mafuzo ya kijeshi kilichopo mpakani mwa Poland na ukrein kushambukiwa na majeshi ya Russia ,Zeleky yupo kwenye desparate kwa sasa asifikiri watu watafanya maamuzi kwa kumsikiliza kama anavotaka yeye ,badala yake NATO wanaangalia kwa mapana na marefu impact ya vita hii iwapo wataaingilia kia haraka haraka vķa sasa
Single inch tenaaa
 
Naunga mkono maoni ya Raising NATO ni waoga na siyo dhaifu.
Mashaka yangu ni kwamba yaweza guswa nchi ndogo mwanachama wakaja kusema hatuwezi kuingilia kwa kuwa tutasababisha vita ya 3 ya dunia.
Inategemea unapigana na nan lazima usikilizie kwanza we enz za vandame ukitoka nje unamuona vandame anaruka sarakas huku anakatakata migomba ungetoka ???
 
Kuna vijamaa hapa ni vijasiri kwenye vita ya nchi nyingine ilhali majambazi yasiyo hata na bunduki yakiwavamia wanapotelea uvunguni mwa kitanda wakiacha familia.

Wazee wa kilimo cha matikiti
 
Ukisoma vizuri hiyo habari ya chini iliyoandikwa kwa lugha ya kingereza haja maanisha NATO kwamba ni dhaifu kwa maana ya dhaifu lakini aticle 5 ya NATO is not responding accordingly

Akimaanisha no single inch of NATO member will be touched without them to respond na hii ni kutokana na kituo cha kutolea mafuzo ya kijeshi kilichopo mpakani mwa Poland na ukrein kushambukiwa na majeshi ya Russia ,Zeleky yupo kwenye desparate kwa sasa asifikiri watu watafanya maamuzi kwa kumsikiliza kama anavotaka yeye ,badala yake NATO wanaangalia kwa mapana na marefu impact ya vita hii iwapo wataaingilia kia haraka haraka vķa sasa
Sasa Ukraine ni member wa NATO?
 
Back
Top Bottom