Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
Kitakachoivunja hii dola ya NATO ni ulaya magharibi maana nchi hiz ni maskin na zinakost zana nchi nyingine tajir even Bible imetabir dola hili ni muungano wa chuma na udongo,kwamwe NATO haitasimama imara,maana nato ni dhaifu kuliko Roma ilivyokua.
NATO itakapoanguka na ule mwisho wa dunia utaanza kucheza kwenye red line ,maana hakuna dola itakayoweza nyanyuka tena si mrus,si mchina wala mmarekeni.
Bali ataibuka mtu mmoja mwenye nguvu ambaye dunia itamwona kama aliyebeba shuluhisho la matatizo ya kidunia