Ukraine yashambulia maghala 2 zaidi ya mafuta ndani ya Russia

Ukraine yashambulia maghala 2 zaidi ya mafuta ndani ya Russia

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
14,885
Reaction score
18,083
Jeshi la Ukraine lilidai siku ya Jumatano kuiangusha ndege ya kivita ya Urusi mashariki mwa Ukraine huku Urusi ikizidisha kulipiza kisasi katika eneo la mashariki linalokaliwa na Ukraine muda mfupi baada ya Kyiv kuteketeza ghala jingine la mafuta la Urusi katika shambulio la ndani kabisa la ardhi ya Urusi.

Mapema siku ya Jumatano, shambulio la ndege zisizo na rubani za Ukraine ziliteketeza ghala la mafuta la Urusi umbali wa maili 100 kutoka mpaka wa Ukraine katika eneo la Rostov. Hakuna hasara iliyoripotiwa, na wakati wa kuandika, wazima moto walikuwa bado wanajaribu kuzima moto huo, kulingana na ripoti za vyombo vya habari vya Ukraine.

Ukraine Strikes 2 More Oil Depots Deep Into Russian Territory | OilPrice.com
 
sasa maghala yameshambuliwa wewe unakuja maneno ya nusu mstari eti hakuna hasara, mapenzi yako kwa putin mwisho mtakuwa mnalizana lizana tu, kumbuka putin alisema ikishambuliwa russia ataanzisha vita ya nuclear
Kawasaidie wenzio huko Donbas inateketea inakwenda.
 
Hakuna hasara iliyoripotiwa, work done is equal to ziro
"Hakuna hasara iliyoripotiwa" ina maana kwamba Wataalam au chombo cha kufanya Tathmini (assessment)hawajakamilisha kazi yao au kazi hiyo itafanyika baada ya moto kuzimwa. Hii haimaanishi eti work done is equal to Zero. Hapana.
Hata mafuta yanayoungua, mindombinu n.k. Ni Hasara pia.
 
Hapo ongelea NATO walio katika mgongo wa Ukraine.
Jambo ambalo haliwezi kutokea ni kufika Moscow
Mmesogeza mstari?
Russia anachapwa hatua kwa hatua, mtasikia tu Putin amekimbia nchi na kwenda uhamishoni North Korea.
 
Yamekuwa ya kutofika Moscow? 😂😂
1724583956558.jpg
 
Yamekuwa ya kutofika Moscow? 😂😂
Nimejibu hoja kwa kuwa hata malengo ya kufika Kurst hayafanikiwa badala yake kila siku Waukreini na wenzao Nato wanaojulikana kwa jina la mercenaries wanazidi kuteketea kila siku na mpaka sasa hakuna msaada wowote wanaoupata kutoka Ukraine kwa wale walioweza kuingia.
Russia kawashika pabaya
 
Mmesogeza mstari?
Russia anachapwa hatua kwa hatua, mtasikia tu Putin amekimbia nchi na kwenda uhamishoni North Korea.
Huko kursk watu wa Ukraine waliovamia ardhi hiyo wanazidi kupungua kwa kuuliwa na wanajeshi wa Urusi.
Sio TU watu,Bali watu na silaha zao.

Ukraine Loses Up to 7,450 Troops During Operation in Kursk Region - MoD

MOSCOW (Sputnik) - The Russian armed forces have eliminated up to 7,450 Ukrainian servicepeople, 74 tanks and 36 infantry fighting vehicles during military operations in the border areas of the Kursk Region, the Russian Defense Ministry said on Thursday.
"In total, during the military operations in the Kursk area, the enemy lost up to 7,450 servicepeople, 74 tanks, 36 infantry fighting vehicles," the ministry said in a statement.
Over the past 24 hours, Kiev lost more than 400 servicepeople in the Kursk area, the ministry also said.
 
Back
Top Bottom